ok sawa mkuu mi nilifikiri kwamba , kwanza forex zipo za aina mbili ya kwanza ni real forex ambayo unaexchage currency moja kwenda nyingine pysically yaani mfano unaenda benki unawapa usd wanakupa tsh hiyo ndo real forex, sema unaexchange pasipo kutumia spot rate, spot rate naamanisha bei ya sasa mfano usd against tsh ile ya mtandaoni ukiigoogle sasa wanachofanya wanatengeza rate mpya mfano 1 tsh =2350 tsh hiyo ni spot rate, ukienda benki utakuta wameishusha mfano 1usd=2300tsh, wakiwa na lengo la kuprofit tsh 50 pia kukeep risk inayoweza tokea, hiyo ni mkono kwa mkono, inayofata real forex nyingne inafanyika katika mfumo wa electronic ambao ni virtual nakupa mfano rahisi chukulia unatrade forex kwa kutumia OANDA broker, na chukulia umepiga usd 100000 sasa unataka uwithdraw na njia broker anayoruhusu mfano tanzania ni bank tranfer na bank unayotumia ni ABSA, sasa broker anakuingizia bank, bank zinaingia kwa TSH na sio USD , bank nayo itaziconvert USD to TSH sio kwa spot rate ya mtandaoni itaishusha thamani ya dola kidogo ili ipate faida sasa hadi hapa nazani umeelewa real forex ilivyo(you exchane real currency to another, yaani mwisho wa siku pesa inaonekana kwa macho na inashikika mikononi)
FOREX ya pili ni CFD, speculation/derivative, amabyo unaifanya kupitia MT4/MT5 ambayo unabuy lot size kupitia kwa broker na mwisho kukuwezesha kununua units of currency PAIR, Mfano USD/CAD, GBP/JPY ambayo dhamani ya PAIR inategemea movement ya real currency ya ask/bid( derivative product, is the product where by it does not have value in it is owns so its value depends in underlying asset , if the underlying asset change its value also the derivative asset change its values, thus why is called derivative financial asset) sasa swali langu ni kwamba na BANK zinafanya CFD kama sisi? na zinatumia MT4/MT5, leverage n.k
na pia huwa napenda nijue nikiwa natrade forex kwa broker flani, na kupitia huyo broker anatumia bank kama liquidty provider je ninapo excute trade yangu nakuwa nakuwa nimeakiakisesi mtandao wa electronic communication network (ECN)??