Forex ni scam au real?

Forex ni scam au real?

Ni centralized forex ndio lazima ujue how centralized finance work ndo mana kuna Decentralized finance (defi through smart contract(coding
Cha msingi acha ubishi kila kitu kinawezekan fanya unachoaamini atuwez dunian kote tuwe kama DullaMbabe..
 
Haahhah babe kila unavyozidi kusogeza haiishi nimeamua niishie kati nije kusoma comments tu

Ndefu ile haichoshi inakuwa tamu bwana[emoji6]
Siandiki habari ndefu tu! mi kwangu kila kitu kirefu.....
 
-Mkuu, tunaishi katika information age,in this "era", information is most powerful weapon that can give u a abundant wealth...we are in information age
-Wewe ukishindwa haina maana ya mwingine kushindwa,Kuna msemo wa kijapani unasema "wengine wakishindwa jitahidi uwe wa kwanza kuweza"....

"If you think you can,you can
If you think you can't, you can't
in either way you're right"
.......................................................................
View attachment 1861319
Hiyo nukuu hapo chini hujaitendea haki.
Cite aliyeitoa bana aka Ford Henry
 
Ili iweje
Kwani ulivyoonyesha hizo umeonyesha ili iweje mkuu.
Hizo ama ivyo ulivyoonyesha kila mtu anaweza kuonyesha hata amateur aliyeanza leo. Sema kimbembe ni icho Sasa Kama umetoa hela onyesha screenshot ya muamala ulivyoingia benki.
Ninachokuhakikishia a real a real I mean a really really really Professional Trader don't even bother to show his/ her trades in public Mana tayari another human demons kicked in or conquer his head.
 
Onyesha na wewe kama ivyo simple as that na mi nimeweka kumthibitishia jsmaa alieuliza unawezaje kutoa account ndogo kwenda kubwa nikamjibu na mfano,na si kwamba tulibishana kuwithdrawals hapana, aya napost acc inasoma 20ml Tsh alaf unakuta mt hana mia kipande nikiasi gani unamdisapoint uyo mtu ,aya anakuomba hela unamyima ili hali keshaziona live,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Onyesha na wewe kama ivyo simple as that na mi nimeweka kumthibitishia jsmaa alieuliza unawezaje kutoa account ndogo kwenda kubwa nikamjibu na mfano,na si kwamba tulibishana kuwithdrawals hapana, aya napost acc inasoma 20ml Tsh alaf unakuta mt hana mia kipande nikiasi gani unamdisapoint uyo mtu ,aya anakuomba hela unamyima ili hali keshaziona live,
Pamoja mkuu.nilijua ni wale ambao mnaamsha emotions za watu afu muanze kuwafundisha
 
Nimesoma comment zenu zote ninachoweza kusema kuhusu forex ni real ila sio kwa kila mtu ..watu wengi wanaofanikwa forex wanachembechembe za ugenious kataa kubali forex inahitaji concert ration na utulivu wa mind wa hali ya juu Sana... Na wengi wetu hasa subsahara ni ngumu hali za maisha zimeshatuvuruga mind zetu tulio wengi....
 
Back
Top Bottom