Una strategy ambayo umeifanyia kazi kwenye demo a/c kwa muda usiopungua miezi 3?Nina elf 50 (Tsh) I'm I good to go, on forex market?
Kama jibu ni ndio unaweza ukaanza kwa hicho kiasi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una strategy ambayo umeifanyia kazi kwenye demo a/c kwa muda usiopungua miezi 3?Nina elf 50 (Tsh) I'm I good to go, on forex market?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]watu mna maneno sanaUnaona sasa hapo, kuna brokers wana leverage ya 2000-3000, sasa hapo ukiweka leverage ya 2000, pips 5 tu zikienda against, account ndio imekwisha hivyo, hawa brokers naona huwa wanawachora tu traders, wanakuchora kwa sababu wanajua hutoboi, na kwa hio leverage wanajua kabisa mpunga wako wanaula ni kama unaona dhahabu kwenye kinywa cha mamba.
Comment kama hizi huwa zinanichekesha sana Jf ina watu wa kila aina.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hii biashara kama inawatajirisha mbona mnatumia nguvu nyingi saaana kuwaingiza watu wengine??
Kwanini msipige pesa kimyakimya au mkawaunga ndugu zenu ili mtoke kimaisha?
You don't need to be a mathematician to make money from fx trading unless you want to create a mathematical indicator.You can teach some basics lakini to make serious money naamini ni wewe mwenyewe, nafikiri watu ambayo ni wazuri in math ambao wanaweza kuona some pattern Wana good chance ya kufanikiwa in forex(not necessarily)
The markets move due the forces of supply and demand.TUONGEZE MAARIFA KIDOGO
Soko zuri ni lile kuna wanunuzi wengi na wanunuaji wengi, mfano wanaouza samaki ni 10 na kila muuzaji ana samaki 50
10^50= samaki 500 wapo sokoni wanuzwa
Na wanaohitaji kununuliwa samaki ni 500
Hapo tunasema wanunuzi na wauzaji wana nguvu sawa yaani 50 kwa 50
Hapa ndipo tunapata kitu kinaitwa FAIR PRICE yaani wanunuzi wamelizishwa na bei iliyopo sokoni ya kununua samaki pia wauzaji wamekubali kuuza samaki wao kwa bei hiyo sasa hali ya soko inaitwa BALANCED STATE kwamba kati ya pande mbili hakuna yeyote anayeumizwa na bei ya soko, sasa kwa upande wa forex hali hii hushauliwa kutia PESA
Sasa balance state itaenda kwa muda na baadae kutatokea hali nyingine, sasa upande wa kwanza ikitokea wanunuzi wamekuwa wengi kuliko wauzaji, wauzaji watapandisha bei kwa sababu hali inaonesha samaki ni hadimu kwa muda huo, so bei itapanda mpaka pale wanunuzi watashindwa kuhimili kununua samaki na watapungua sokoni kwasababu kunakuwa hakuna namna kuweza kuendelea kununua samaki kwa sababu ya bei kubwa sasa kitendo cha wauzaji kupandisha hiyo bei ya samaki inaitwa IMBALANCED STATE (kwenye forex tunasema DEMAND wana nguvu hivyo wamesabisha bei ya samki kupanda kwa wao kuwa wengi)
Na ikitokea wanunuaji wamepotea sokoni kwa sababu ya bei kubwa wauzazi itawafanya waanze kushusha kidogo kuangalia kama wanunuzi watavutika tena, bei ikishuka kidogo na ikatokea wanunuzi bei wameikubari(FAIR PRICE VALUE) basi soko litatengeneza hali ya BALANCED STATE,sasa ikitokea balance state imekaa muda sana tunasema wanunuzi wengi waliikubali hii price kununua hivyo kufanya 50 kwa 50, na ikitokea balanced state imekaa muda mfupi sanaa, tunasema kuwa wanunuzi wachache walikubaliana na kununua samaki kwa hiyo nazani ni mataita au mfuko mrefu, na wengine wengi choka mbaya kushindwaa kuhimili hiyo bei, sasa wauzaji itawaforce kushusha bei kwa speed sana hapa kwenye forex tunasema wauzazi wameingiwa na uoga(FEAR) may be wasipofanya hivyo samaki zao zingeozwaa, sasa wakifanya hivyo tunatengeneza hali ya soko kuwa IMBALANCED(hapa kwenye forex tunasema suppliers are strong or more in numbers than buyers) sasa hapa tena tunasema kushuka bei kwa samaki kwa speed sana tunasema HIGH MOMENTUM( momentum kwenye physcs, ni mass *velocity, kwenye forex tunasema the PRICE should move widely in short period of TIME, so TIME and PRICE move matter in identifying momentum) wengine wanaitaa momentum ni trend whatever utakavoona kuita, sasa hapa forex traders wanashauliwa kuweka PESA zao wakati soko lipo kwenye hali ya IMBALANCED STATE, ili kuwawezesha kuvuna PIPS nyingi
sas soko linapoendelea kuwa katika hali ya BALANCED STATE, hapa tunasubiri tu hali ibadilike tutie pesa tu, sasa ikitokea kwa vile bei imeshushwa wanunuzi wataingia rohoni mwao na kitu kinaitwa GREED yaani uroho/urafi whatever utakapoita kila mtu atatamani kunua samaki kwa wingi, wakati samki wananunuliwa kwa urafi, kuna hali itatokea wanunuaji wamekuwa wengi sana kuwazidi wauzaji, sasa hapa hali ya soko ndipo inapoenda kubadilika kutoka balanced kwebda IMBALANCED STATE, na tutakuwa na high momentum kwasabu wauzaji watapandisha bei ya samaki kadri wanunuaji watakavokuwa wanaongezeka kununua samaki hadi pale hali itakavyokuja kuwa mbaya na wanunuaji kupotea kwenye soko, na kuanza kutafuta hali nyingne ya soko ambayo ni BALANCED STATE
Lakini bado najiuliza sanaa, je hao wanunuzi na wanunuaji na sisi tunahusishwa tunaospeculate currency??
So market move in cycle BALANCED STATE, IMBALANCED STATE, BALANCED STATE n.k( japo balanced state hutokea clearly na non clearly yaani ndogo na kubwaa)
LEO NIMEKUJA KWA MTINDO WA SAMAKI, kwa sababu wengi bongo zao kucreate IMAGINATION ya how markets works inakuwa ngumu, na ukichanganya na terminologies unakata tama mapema
AHSANTE SANA WAJUMBE
Mimi naweza kukuambia kama vyote unavyo umepungukiwa na kimojaHaya maswali hayaongezi chochote cha maana kwa forex trader.
Forex trader anahitaji (strategy, risk management, position sizing)
You are jokingNina elf 50 (Tsh) I'm I good to go, on forex market?
Let's say nina ujuzi, kipi kinazuia nisichukue profit?You are joking
Usilete utani .
Fx sio Kama kuuza karanga .
Kwanza unao ujuzi .?
Kama huna ujuzi hio 50 kanywe bia itajishukuru baadae
Otherwise unaketa masihara[emoji1]
Your welcome champ ila usipoangalia utaweza ipoteza hata nusu saa haijaisha ila nisikutishe kama una maarifa unawez pata 5 pcnt dailyNina elf 50 (Tsh) I'm I good to go, on forex market?
Wewe jamaa ondoa matangazo yako hapa Na vilink vyako unataka affiliate percentUnajua watu wanashindwa kuelewa tu kwamba kujifunza kutrade ni pamoja na kujua kuchagua broker yupi wa kutumia,
Wapo brokers wengi ambao hata uwe trader mzuri mwenye strategy yenye accuracy kubwa lakini kutokana na fix atakazokupiga daily unakuwa hutoboi yani,
Msiishie tu kujifunza strategy au kununua signals, jifunzeni pia kuwachunguza brokers wenu.
Uzuri brokers wako wengi sana, kwa kuanzia anza na wale ambao watu wengi huwatumia
Mfano
tickmill ,
JP, templer n.k
Lengo ni kuelimishana mkuu, kama mods itawapendeza kuondoa basi wanaweza wakafanya hivyo. Asante.
Wewe umetumwa usambaze link upewe commissionLengo ni kuelimishana mkuu, kama mods itawapendeza kuondoa basi wanaweza wakafanya hivyo. Asante.
Wewe umetumwa usambaze link upewe commission
Hayo ni maneno ya kujifariji.Mimi naweza kukuambia kama vyote unavyo umepungukiwa na kimoja
Nacho ni "understand yourself better before entering in the market"
It is a good idea for self evaluation, sharing experiences and learning more from other traders. Tengeneza hiyo competition na utupe link ya kujoin.Nice guys, very nice.... naona kuna wakali humu...
Mnaonaje ikiwepo forex contest...
Mu waonyeshe watu jinsi trades zinavyofanyika?... kwa faida za wengine na wanaoamini fx ni betting...
Ningependa zaidi ningeona haya madini na maarifa kazini kuliko kwenye maandishi... au mnasemaje ndg zangu?
Tunaweza kufungua competition fxblue na mtu atakayependezwa ata join, matokeo yata display live....
View attachment 1877919
najua hamtoniangusha ndugu zangu.... hii itaitwa jf forex cup.. tutaweka hata mwezi 1 au muda wowote...
Tutaweka pia uzi maalumu wa updates...
Acc ukipenda demo au real...
Nawasilisha...
Perth
The imp
LURIGA
sirmweli
Mwl.RCT
Dit000
Matawi ya juu
NDORANGA
Na wengineo .....
Sawa mkuu...It is a good idea for self evaluation, sharing experiences and learning more from other traders. Tengeneza hiyo competition na utupe link ya kujoin.
"understand yourself better before entering in the market" inaangukia hapa , pale macho yako yanapoona chart akili yako inafikiliaje?(MIND SET) na ikishafikilia akili yako inachukua hatua gani?(PSYCHOLOGY).Mimi naweza kukuambia kama vyote unavyo umepungukiwa na kimoja
Nacho ni "understand yourself better before entering in the market"