Forex ni scam au real?

Uchambuzi mzuri sana huu
 
We jamaa unaongea utadhani wewe ndo kipimo ambacho watu wengine wanatakiwa kujipima.

Ukishindwa kitu Fulani haimaanishi wengine watashindwa kama wewe.
 
fOREX sio scam ila hawa traders wa instagram na twitter ndio wanaofanya hii biashara ionekane kama ni utapeli huwa wanawaaminisha watu utajiri uliopo kwenye forex kiasi kwamba forex ni mgodi wa dhahabu yani ukiingia tu after few days/weeks/months we tayali ushakuwa tajiri na soon utaanza kumiliki BMW mpyaa na hanasa nyingine.

Tukumbuke suala la biashara sio kitu cha kukikurupukia tu.Kiufupi ukitanguliza suala la PESA mbele ktk biashara yeyote ile wakati mwingine unaweza usikutane kabisa na hizo PESA...Maarifa juu ya biashara unayotaka kuifanya ni muhimu sana.
 



Mmeongea sanaaaa ila forex sio wizi ni ww tu usipo kuwa na elimu ya kutosha utapigwa sana sokoni utaona ni wizi nimetrade fx kitambo ila sikuwa na elimu ya kutosha mwaka huu ndio naona matunda kwenye fx baada ya kupata elimu ya kutosha

Cha msingi wekeza kwanza kwenye maarifa mtaji sio tatizo kabisa unaweza anaza hata na 10$

Kamaa hapaaa iyo ni 9$ inakupa 50000/= kwaiyo ni swala la elimu

Pia watu tunajisahau kuwa forex ni biashara manake kuna faida na hasara piaa. Hata uwe na strategy bora kiasi gan lazima upate hasara coz hii ni biashara chamsingi ni kusimamia mtaji wako vizuri mwisho wasiku ufunge na faidaa tu unaeeza win 70$ leo kesho ukapoteza 20$ ila badae ukawin 80$ kwaiyo mwisho wa siku hakikisha una faida nzuri

Note: kikubwa ukitradae hakikisha una chomoa faida kuna raha yake asee
 
Mt4 za iPhone zinapendeza Sana ngoja nivute iphone
 
Wakubwa hivi hii forex ilianzishwaje af kwa nini itawale sana kwenye mitandao
 
Duh sijajua why imekuja kama notification maana hata sijatagiwa ila uko nondo mkuu af suala la mtaji ni muhim ila sio muhim saaana
 
Mwaka 2008 wakati bitcoin inaanzishwa, ilijitokeza fursa ya kujipatia sarafu kwa kuchimba (mining) kupitia computer bure. Wachache waliamini wakachimba ila wengi walipuuzia kwa kuwa hazikuwa na thamani ya pesa (monetary value) kwa wakati huo. Wale waliochimba wamenufaika kwa kuuza sarafu walizochimba.

Miaka 14 baadaye imejitokeza tena fursa ya kujipatia coin za RENEC kwa kufanya mining.

1. Kujisajili na kuchimba ni bure.
2. Hakuna ulazima wa kumuunga mwenzako.
3. Coin ikizinduliwa waweza kutoa pesa kwa njia ya simu au benki.

Kama upo willing, nicheki DM kwa maelezo zaidi na jinsi ya kujiunga njoo DM ni buure bila hata 50

Pia waweza kutembelea ukurasa wa instagram Heisslyman Msaba
 
Kuna msemo unasema hivi,,, Anguka nyanyuka, anguka nyanyuka kunasiku utanyanyuka Moja Kwa Moja,,,, kun baadhi ya watu kipengere cha kuanguka kwenye biashara biashara hawataki hapo ndipo sekeseke linapoanza kuwa forex trading is betting km betting zingine, hawataki kujifunza kwa walio fanikiwa wao wanataka chap kwa harakat kulala maskini kuamka na V8 GXR ndani ya usiku mmoja ni kitu kwamwe hakiwezi tokea kupiti forex.....!!! Pmj cn wadau wa Forex tujaze buti wakubet waendere kubet simple
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…