Forex ni scam au real?

Forex ni scam au real?

Hapana, nina bett na pia nina trade na nImejarib kuleta ethic za bett ktk forex nimeangukia pua, betting ni betting fx ni fx pia unaweza bett miaka mia na Usipate profit but trading haipo ivyo
Unamaanisha katika fx faida ni given?
 
Short and clear jifunze mwenyewe,jiulize kwanini wameweka stoploss, soko linaongea mkuu kama huelewi candlestics na pattern huelewi psiocolgical Levl yani hujui seller na buyer wako wapi bora utafute kazi ingine, mi si mentor ila nafundisha kwa kujiskia coz ni hobby yangu kushare knowledge
Vinasaidia nn acha uzushi kutumia hilo ji mt4&5 hazisaidi wewe akilu yako unachosoma ushirikishi ubongo na ufikikiii nje box

Umenielewa bado sna wewe kuchambua mambo mfano ni swa unaambiwa binadamu wa kwanza ni nyani kwa vile umesoma kweny vitabu unaamini ivyo ivyo

Je mara ngapi stoploss zina trigger na trade zinarun kwa upumbavu wa broker anaweza fanya chochote hiyo ni centralization sio kama cyrptos be smart

Soma kitabu cha mark douglas trading in the zone kiufupi wanakuandaa kisaikolojia kupigwa na kuiamini forex kuliko stragegies umenielewa yaani unachezewa saikolojia na forex's dealers mpaka unaingia mkenge kwa vitabu vya saikolojia hayo unayaongea ni kama nadharia sijui risk management,kucontrol emtions

Kama ni muislamu au mkristo just cross checking holly book then unganisha dot na forex upate uelewa
 
mtaji sio swala kubwa unaweza anza na 100$ usiwe na pupa na ukaipeleka pa kubwa,ila kadri unavyo ipandisha usiwe na kujimwambafy, usicelebrate profit bali celebrate loss ndogo
$100 mbona nyingi sana

Watu hujipa challenge ya kuanza na $10

1626762530422.png

Balance: $10.78
Equity: $12.65

Nitahold kwa masaa 4 ya london session

Fungua chati yako muda huu angalia EURGBP, AUDJPY, AUDUSD, CHFJPY
 
Vinasaidia nn acha uzushi kutumia hilo ji mt4&5 hazisaidi wewe akilu yako unachosoma ushirikishi ubongo na ufikikiii nje box

Umenielewa bado sna wewe kuchambua mambo mfano ni swa unaambiwa binadamu wa kwanza ni nyani kwa vile umesoma kweny vitabu unaamini ivyo ivyo

Je mara ngapi stoploss zina trigger na trade zinarun kwa upumbavu wa broker anaweza fanya chochote hiyo ni centralization sio kama cyrptos be smart

Soma kitabu cha mark douglas trading in the zone kiufupi wanakuandaa kisaikolojia kupigwa na kuiamini forex kuliko stragegies umenielewa yaani unachezewa saikolojia na forex's dealers mpaka unaingia mkenge kwa vitabu vya saikolojia hayo unayaongea ni kama nadharia sijui risk management,kucontrol emtions

Kama ni muislamu au mkristo just cross checking holly book then unganisha dot na forex upate uelewa
Sijakuelewa pia hujaweka wazi hapo kwa kumcheki na Holly books
 
Wewe unaweka $100 unachukua very high leverage mfano 1:500 hapo una $50000, which means ukitrade kwa units zote unaingiza 5$/pip which means market ikiwa kwenye favor yako unahitaji only 20 pips kuwa na profit ya 100 usd, na hapo ume double, but leverage ya 500 ina hitaji -20 pips tu ikaushe na mtaji wako na hapa ndipo sekeseke linaanzia.
Maswali ya msingi ya kujiuliza ni haya:
  • Je kwanini kuna leverage?
  • Je kwanini utumie leverage kubwa au ndogo?
  • Je leverage itakuletea faida au hasara kulingana na trading personality yako?
  • Je utanufaika vipi na hiyo leverage?
  • Je kwanini baadhi ya regulations leverage haitakiwi izidi 1:30? hii ni kawaida kwa nchi za ulaya na USA
  • Je kwanini baadhi ya broker hutoa leverage kuanzia 1:1 hadi 1:3000?

Maswali ni mengi.

Ila kitu cha kwanza kabla ya kuingia na kufanya trading ni skills sahihi
  • Jinsi gani ya kuchagua Trading pair
  • Jinsi gani utapa mwelekeo sahihi
  • Jinsi gani uta Pinpoint entry ili upate faida bila kuja [a] leverage uliyotumia au(b) Mtaji ulio nao

Picha huzungumza mengi zaidi, hapo juu nimeweka Picha na video ya trades zinazoendelea, na zitakupa mwanga zaidi kuhusu hizo points zangu hapo juu.
1626764442427.png
 
Vinasaidia nn acha uzushi kutumia hilo ji mt4&5 hazisaidi wewe akilu yako unachosoma ushirikishi ubongo na ufikikiii nje box

Umenielewa bado sna wewe kuchambua mambo mfano ni swa unaambiwa binadamu wa kwanza ni nyani kwa vile umesoma kweny vitabu unaamini ivyo ivyo

Je mara ngapi stoploss zina trigger na trade zinarun kwa upumbavu wa broker anaweza fanya chochote hiyo ni centralization sio kama cyrptos be smart

Soma kitabu cha mark douglas trading in the zone kiufupi wanakuandaa kisaikolojia kupigwa na kuiamini forex kuliko stragegies umenielewa yaani unachezewa saikolojia na forex's dealers mpaka unaingia mkenge kwa vitabu vya saikolojia hayo unayaongea ni kama nadharia sijui risk management,kucontrol emtions

Kama ni muislamu au mkristo just cross checking holly book then unganisha dot na forex upate uelewa
Unazungumzia manipulation, fakeouts,ukiwa na maarifa vyote unavi handle,na ndo maana kuna vutu vya kuzingatia possition size n.k ukitaka utobe mfano una 4500$ capital kwa kila trade ya uhakika usizid 0.50 lots
 
Forex is a scam and the game of gamblers,none of you mentors wants you to know that

Nakupa mfano na uhalisia kama kuna mentor mkubwa aje ajibu hapa kiukamilfu with reasonable hits

Nimeijua forex 2016 nimetrade sana kipind icho jp market alikuwa anafanyia watu ushenzi na tulikuwa tunatumia sana templer to krahisisha kutoa na kuweka pesa
Unachotakiwa ujue forex haikuanza na mzunguko wa $6 trillion kama mnaelewa ilianza chini kabisa before walikuwa wanafnya mabanks tu ndo maana kama ni mtu unafuatilia back years unasikia bank imefilisilika sababu ya forex ila jiulize kwa sasa ni ngumu kusikia ilo kwa sababu kuna small fishs ( retailers traders )wengi hawa ndo wanapigwa

Unachotakiwa ujue forex na betting ni same zote wameanzisha matajiri na mabank kufanya kama starehe na kutumia pesa zao

Jiulize je kwa nn brockage firms zinaweza kuwa na insurance lakin forex trader mwenyewe hana kitu dhidi ya loss kama ni business na ni forex na betting ukipigwa unatembea?

Jiulize kama ni business real ukisell ukaliwa means buyers wakati huo wamepiga yaani mmevutiana soko wenyewe kwa wenyewe then na betting tena betting ina option nyingine ambayo mechi inaweza kuwa draw ,loss, or win ila forex pande mbili tu ukiloss mwenzio kapiga means ni gambling
Je mentors kwa nn wanakimbilia kufundisha kutoa signal ,kuandaa vitabu insteady of focusing on market

Tamaa za kushawishi watu kuingia kweny forex ndo zina faida nying kuliko uhalisia wa kutrade mfano brokers wanatumja system ya ib (introducing broker) kualika mtu ili upate commsion kama anayokuja nayo sirjeff na broker 360 na pia aalifanya na jp market miaka ya nyumba na ukiangalia kila mentor ana brokee wake apate kumpromote apate commsion angalau ni uwakika kuliko kuingia sokoni

mentors wanatumia njia ngumu kushawishi watu waamini wamefanikiwa kama showoff mara masuut hotelin, sijui magari
Your arguments are too shallow to cement your point
 
Kila kitu kinawezekana unaweza fanya tRading as gamble or bussines, hii ukienda na nadhari ya getting rich quick unaangukia pua, otherwise uwe na subira ya hali ya juu usubir setup ya uhakika kama katika GBPJPY WIKI HII then unajilipua unahold,ukipata profit za maana unatrade kwa lotsize ndogo target kubwa loss kidogo uku unasubir setup ungine,

asikudanganye mtu fx imebase katika ,Nidhamu,subira,money management,usiwe na hasira,na kuact na reaction za fasta ukihusisha maarifa,

mtaji sio swala kubwa unaweza anza na 100$ usiwe na pupa na ukaipeleka pa kubwa,ila kadri unavyo ipandisha usiwe na kujimwambafy, usicelebrate profit bali celebrate loss ndogo

mfolow sjosephburn insta or twittwer,

nimeijua fx kwa miaka minne sasa ukiiendea ovyo inakufunza adabu,siku zote fuata momentum,trade complete parrtens hold profit,cut your losses kikubwa tunza mtaji wako kwa nguvu zote,ukiloose usiwe na hasira close chart kwa muda

never chase a trade,kila siku jifunze pambana trading inatoa ukiwa serious,achna na opinios za watu ,funga masikio fuata unachokiamini,si lazima uanze na dola 10000 au 500 kama huna maarifa utapoteza tuu.
View attachment 1860420 still holding till now
Thanks Mkuu kwa ushauri...naamini lazima utafanyiwa kazi...
 
Umeandika meeeeengi , nyingi ni stories na hearsay.

Njoo hapa na ulichofanya kutoka kwenye forex acha story za watu. Speak about yourself.
Mkuu ugumu wako wa maisha usinipanikie mimi, usiniulize kama unaniforce au umekuwa polisi, usiongee na mimi kama unaongea na mke au demu wako, jaribu kujiheshimu, i loose what i can afford, mimi ni mhandisi tena sio mhandisi njaa, forex ni side hustle tu, haihitaji nikuonyeshe najua kuimba ili uamini muziki unalipa, kwani huoni watu wananunua Rolls Royce?
Stupid!!!!!!!!
 
But all of it..hii kitu ni real na unaweza make money tatizo ni ile wa tz tuna papara na tunawahi kukata tamaa hii n business kubwa sana saiv inaingia mpaka mabitcoin pia stocks yaan Kuna instrument nyingi mno za kukufanya upate pesa. Cha msingi ni kusoma na kujua nn kimo ndani sio ishu ya leo kesho uamke tajiri aaaah wapi take time kujifunza na ku grow.. kwakweli n huge market Wala hadanyi mtoa mada
 
Forex is a scam and the game of gamblers,none of you mentors wants you to know that

Nakupa mfano na uhalisia kama kuna mentor mkubwa aje ajibu hapa kiukamilfu with reasonable hits

Nimeijua forex 2016 nimetrade sana kipind icho jp market alikuwa anafanyia watu ushenzi na tulikuwa tunatumia sana templer to krahisisha kutoa na kuweka pesa
Unachotakiwa ujue forex haikuanza na mzunguko wa $6 trillion kama mnaelewa ilianza chini kabisa before walikuwa wanafnya mabanks tu ndo maana kama ni mtu unafuatilia back years unasikia bank imefilisilika sababu ya forex ila jiulize kwa sasa ni ngumu kusikia ilo kwa sababu kuna small fishs ( retailers traders )wengi hawa ndo wanapigwa

Unachotakiwa ujue forex na betting ni same zote wameanzisha matajiri na mabank kufanya kama starehe na kutumia pesa zao

Jiulize je kwa nn brockage firms zinaweza kuwa na insurance lakin forex trader mwenyewe hana kitu dhidi ya loss kama ni business na ni forex na betting ukipigwa unatembea?

Jiulize kama ni business real ukisell ukaliwa means buyers wakati huo wamepiga yaani mmevutiana soko wenyewe kwa wenyewe then na betting tena betting ina option nyingine ambayo mechi inaweza kuwa draw ,loss, or win ila forex pande mbili tu ukiloss mwenzio kapiga means ni gambling
Je mentors kwa nn wanakimbilia kufundisha kutoa signal ,kuandaa vitabu insteady of focusing on market

Tamaa za kushawishi watu kuingia kweny forex ndo zina faida nying kuliko uhalisia wa kutrade mfano brokers wanatumja system ya ib (introducing broker) kualika mtu ili upate commsion kama anayokuja nayo sirjeff na broker 360 na pia aalifanya na jp market miaka ya nyumba na ukiangalia kila mentor ana brokee wake apate kumpromote apate commsion angalau ni uwakika kuliko kuingia sokoni

mentors wanatumia njia ngumu kushawishi watu waamini wamefanikiwa kama showoff mara masuut hotelin, sijui magari
Mkuu naheshimu pia mawazo yako na hoja nzuri inayojenga tafakuri.
 
Utajiri wa siku hizi bana,

Watu wana moyo sana wa kusaidia 🤣

Utatafutwa kwa kila namna ufundishwe na wewe uwe tajiri yaani. Yaani mtu kuwa tajiri mwenyewe kimya kimya anashindwa.

Kila siku mboyoyo tu za kusaka vichwa.

Yaani siku hizi ukiwa msukule, utapigwa ndani ya dakika ZERO tu.
🙂 Mkuu sijaja hapa kusaka vichwa, siwezi hata kufundisha mtu na sina huo uwezo, nasikiliza tu maoni ya wadau.
 
Maswali ya msingi ya kujiuliza ni haya:
  • Je kwanini kuna leverage?
  • Je kwanini utumie leverage kubwa au ndogo?
  • Je leverage itakuletea faida au hasara kulingana na trading personality yako?
  • Je utanufaika vipi na hiyo leverage?
  • Je kwanini baadhi ya regulations leverage haitakiwi izidi 1:30? hii ni kawaida kwa nchi za ulaya na USA
  • Je kwanini baadhi ya broker hutoa leverage kuanzia 1:1 hadi 1:3000?

Maswali ni mengi.

Ila kitu cha kwanza kabla ya kuingia na kufanya trading ni skills sahihi
  • Jinsi gani ya kuchagua Trading pair
  • Jinsi gani utapa mwelekeo sahihi
  • Jinsi gani uta Pinpoint entry ili upate faida bila kuja [a] leverage uliyotumia au(b) Mtaji ulio nao

Picha huzungumza mengi zaidi, hapo juu nimeweka Picha na video ya trades zinazoendelea, na zitakupa mwanga zaidi kuhusu hizo points zangu hapo juu.
View attachment 1860584
Thanks Mkuu nimefurahi kuona na traders mpo hapa, naomba niulize unawezaje kuanza na kiasi kidogo kiasi hicho na ukakuza tuseme hadi $50? kwa faida ya wasomaji wengine, Thanks Mkuu.
 
Mkuu ugumu wako wa maisha usinipanikie mimi, usiniulize kama unaniforce au umekuwa polisi, usiongee na mimi kama unaongea na mke au demu wako, jaribu kujiheshimu, i loose what i can afford, mimi ni mhandisi tena sio mhandisi njaa, forex ni side hustle tu, haihitaji nikuonyeshe najua kuimba ili uamini muziki unalipa, kwani huoni watu wananunua Rolls Royce?
Stupid!!!!!!!!
Mbona umepanick Sina haja ya kujua Kama wewe ni Muhandisi.

Mimi mwenyewe ni forex trader tangu 2009 huna unalojua kuhusu forex. Stupid
 
Back
Top Bottom