Mr Suprize
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 869
- 961
Kwenye industry ya forex sio lazima utrade huku Kuna fursa nyingi nje ya kutrade na ukapiga pesa Safi
1. Unaweza kuwa agent wa malipo ya pesa , Hawa ni watu wanaowasaidia traders katika kudeposit na kuwithdraw, , baadh ya nchi ni ngumu sana kudeposit na kuwithdraw kupitia bank , Sasa brokers wameruhusu watu binafsi kupokea pesa kutoka Kwa traders na kufund kwenye account zao , hivyo hvyo wakati wa kuwithdraw .
Hapa unatakiwa kuwa mwaminifu tu , brokers wanakulipa commission Kwa kila amount utakayodeposit na kuwithdraw , na watu wanaish Kwa hii kazi .
2.Washawishi watu watumie broker
Umewahi kusikia Kuna kampun ukiwapelekea wateja wanakulipa kama yule mteja atafanya manunuzi kwao?? Sasa hiyo pia ipo Kwa brokers wote wa forex , ukimshawish mtu amtumie broker fulan wewe unalipwa Kwa kila trade atayoingia yule uliyempeleka , na sio mara moja ni siku zote anapotrade bas wewe Kuna commission unapokea direct , broker ndo wanakulipa , Yan unaamka asubuh unakuta kibunda kipo kwenye account yako mfano $12, $30, kutegemea na idadi uliyowashawishi na trades walizofanya
Deriv ndo broker ambaye Kwa Sasa Yuko popular sana hapa Africa ukiweza kuwashirikisha watu wamtumie broker huyu bas unaweza ukaendesha maisha yako bila stress ,
Sasa Kuna form unajaza Kisha unawatumia , wao watapitia taarifa zako Kisha watakupa go ahead na mfumo mzima wa kupokea pesa zako .
Form ipo kwenye link ukifungua bonyeza join now jaza taarifa zako Kisha submit halafu kaa Kwa kutulia
track.deriv.com

Trading Affiliate Programme | Deriv
Explore multiple earning opportunities with our Trading Affiliate Programme. Join us today to access marketing tools and start earning with us.