labda nikufananilie kitu, mtu anaefanya byuro de change hafanyi trading bali anafanya biashara ya sarafu, yeye faida yake haitokani na leo dola imepanda ama kushuka bali yeye anategemea quantity ya watu kuja kwake kufanya exchange faida yake ndo inatoka apo however bado yupo affected na daily rates ila kwake sio big deal
mfano rate inaweza kushuka but as long customers keep comming basi hio loss itafidiwa, so huyu hawezi kupata hasara, pia dola ikipanda ni faida kwake however yeye rates zake ni fixed ukienda nje ya duka utakuta ameandika rates zake na zpo tafauti kabisa na rates za BOT kwa sababu anafanya biashara ya sarafu
tuje benki, hawa hawajaachana sana na byuro ila wao kila kitu kipo digital, mfano ukitaka kumtumia mtu ela kutoka tanzania kwenda uganda basi rate utayopewa ni tafauti na BOT however utapewa extra charges za kutuma,so faida yao na byuro znashabiana utafauti ni benki ana wigo mpana kwa sababu anafanya electronically na anafikia watu wengi kwa pamoja, sku izi ata mitandao ya simu ina service kama hii, hii inaitwa BIASHARA YA SARAFU
tuje kwa vijana wa kizimkazi(TRADING) unachofanya pale kwanza sio trading ni betting na pia your profit inategemea if price itapanda ama kushuka, ukizingua apo hamna sehem utaweza kurudisha ela yako, ukirudi kwenye ule mfano wa awali wa byuro utakumbuka nlisema ata kama price ikishuka as long people come and exchange ile loss itafidiwa na profit atakayopata in that day, so in simple words you cant make a loss! nadhan nmeeleweka