Kifua nnacho sana mzee nataka niingie kwa akili sana ... nshatrade demo account for one year ma zaidi na kwa pair moja tu..
nishatrade real account templer kama miaka minne nyuma ila nikawa bize na harakati nyingine za kutafta hela so sikua makini sana huko kwa forex..
ila nw nataka nirudi kwenye gane rasmi so swali langu kwa mnaotrade real account kwa muda mrefu ni je hakuna any chart manipulations kati ya real na demo??
Je inaweza kutokea broker akablock account ukashindwa kuwithdraw?
keisangora