Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utafeli pale tu utakapoamua kukata tamaaSi ushuhuda ni uhalisia hata nikifeli haiifanyi forex kuwa uwongo, ila nnachoamini siwezi kufeli nitapambana na saikolojia yangu sipambanani na market
Forex bla mtaji wa m 50 ni utapel
Mkuu your biasennes, subjectivity, predictions, opinions,truth, assumptions,and beliefs sio objective or the reality.Forex bla mtaji wa m 50 ni utapel
Huyu ameshaamua kuwa YouTuber ndio rahisi kupata hela. No easy money if it was money none would force them into your pocketAcheni ku trade forex fanyeni binary Option Trading.
Tembelea YouTube channel
Tanzanian trader. Mpate maarifa ya binary.
Mkuu nmepata elimu ya forex ila nmegundua kwa mtaji mdogo forex haina tofauti na kubeti tuMkuu your biasennes, subjectivity, predictions, opinions,truth, assumptions,and beliefs sio objective or the reality.
Wapo walioanza na below 1M wanapeleka akaunti $200M.
Ishu Ni skills ndio ngumu kuzipata hela sio ishu. Hela Ni product ya skills
Umepata elimu gani. Kufaulu ama kufanikiwa in trading isn't about knowledge Mana wengi ndio wanayo na ndio Mana wanafundisha sema kuitumia hawawezi.Mkuu nmepata elimu ya forex ila nmegundua kwa mtaji mdogo forex haina tofauti na kubeti tu
Do your own job for living watu walitegemea kuwa Kuna easy money. Yaani hii Ni ngumu kuliko kuwa na degree ya architecture, medicine, engineering,laws and business combined together yaani Ni ngumu na itakufulisi kabisa ,utapoteza ndoa yako,utapoteza kazi,nyumba, wanao watalala njaa kisa Trading.Kuna chambo hapa
Kuna watu wanavutwa kimtindo ili wasisanuke
However, Kobe Bryant showed that “Mamba Mentality” actually meant a lot more than moments of pettiness. It was about finding passion in your life, setting goals outside your reach, then outworking everyone around you to get what you want.Mkuu nmepata elimu ya forex ila nmegundua kwa mtaji mdogo forex haina tofauti na kubeti tu
Hizo Ni cdf za bidhaa gani mkuu.HIzo ni boom mkuu, ni tamu sana ukizijulia
Bro nakuomba tuwasiliane kwa whatsapp namba 0626517799 au 0785870804 tafadhali nakuombaKama mada inavyojieleza, katika harakati zangu za kutafuta side hustle nlikutana na hiyo idea ya forex. Ila baada ya kufanya research matokeo yalikuwa negative especially kwa hapa JF.
Inavyoonekana kuna watu washalizwa kupitia forex na wanaishi na hiyo trauma. Maada yoyote inayozungumzia hiyo online trade huwa inakuwa attacked kama we ni beginner ni rahisi kukata tamaa.
Lakini baada ya kupata knowledge nimegundua hiyo sio tu side hustle bali unaweza kujiajiri kabisa na ukasahau hiyo 9/5 jobs.
Ujanja ni huu;
a. Usimuamini mtu anayekwambia umtumie hela ili a trade on your behalf then mgawane faida, hiyo utapigwa.
b. Tafuta maarifa na kujifunza mwenyewe uelewe financial markets zinavyooperate, hiyo utakuwa hatua moja kabla ya kutoboa.
c. Baada ya kupata knowledge fungua demo akaunti ufanye mazoezi ya kutosha, hiyo utakuwa unakaribia lengo.
NB. Kulifikia lengo lenyewe hayo juu hayatoshi, kuna discipline, usipokubali kuliwa huli utaishia kuwa frustrated, kuna kumanage risk hayo yote utayapata kutokana na experience.
Soon najilipua na live account so sad maada za fx Jf haziungwi mkono kutokana na matapeli wachache waliotutangulia kuliona jua
Ehe famiriaKama mada inavyojieleza, katika harakati zangu za kutafuta side hustle nlikutana na hiyo idea ya forex. Ila baada ya kufanya research matokeo yalikuwa negative especially kwa hapa JF.
Inavyoonekana kuna watu washalizwa kupitia forex na wanaishi na hiyo trauma. Maada yoyote inayozungumzia hiyo online trade huwa inakuwa attacked kama we ni beginner ni rahisi kukata tamaa.
Lakini baada ya kupata knowledge nimegundua hiyo sio tu side hustle bali unaweza kujiajiri kabisa na ukasahau hiyo 9/5 jobs.
Ujanja ni huu;
a. Usimuamini mtu anayekwambia umtumie hela ili a trade on your behalf then mgawane faida, hiyo utapigwa.
b. Tafuta maarifa na kujifunza mwenyewe uelewe financial markets zinavyooperate, hiyo utakuwa hatua moja kabla ya kutoboa.
c. Baada ya kupata knowledge fungua demo akaunti ufanye mazoezi ya kutosha, hiyo utakuwa unakaribia lengo.
NB. Kulifikia lengo lenyewe hayo juu hayatoshi, kuna discipline, usipokubali kuliwa huli utaishia kuwa frustrated, kuna kumanage risk hayo yote utayapata kutokana na experience.
Soon najilipua na live account so sad maada za fx Jf haziungwi mkono kutokana na matapeli wachache waliotutangulia kuliona jua
Hizo story tu unapoteza muda wako. Unasema tukawasome hao Richard na Randy ili iweje? Sema wewe una shlllingi ngapi leo kwa kufanya forex.Umepata elimu gani. Kufaulu ama kufanikiwa in trading isn't about knowledge Mana wengi ndio wanayo na ndio Mana wanafundisha sema kuitumia hawawezi.
Kasome Richard Dennis alianza na $400 to $200M within 8yrs.
Pia kamsome Randy McKay alianza na mtaji wa kiasi gani na alifikia wapi.
Sasa nakupa zoezi uone kuwa unatafuta excuse.
Fungua demo ya $10k weka leverage ya 1:25-1:50. Then risk no more than 1% kwa kila position mkuu.
Naomba uipeleke iyo akaunti mpaka ifike $1M ili kweli tuone Kama mtaji ndio shida. Jaribu ku double digits just your demo account.
Yaani ungejua kuwa mawazo ama your own beliefs ndio zimekushikilia.
Hii ishu iko against na human nature na elimu iliyojaa mtandaoni sio elimu sahihi ama sio elimu friendly kwa trader labda kwa broker Mana ndio wanaodhamini educators waelimishe newbies wakapoteze hela.
Inatakiwa game ndio ikufundishe game.
Hebu kucheki na usije ukapata relative drawdown ya 4%.
Yaani akaunti yako isije ikaenda below ya $9600 siku ya kwanza. Yaani kila ukifunga position ndio mtaji mpya huo sio Tena $10000. Mfano ukipata $10400 so hutakiwi kupoteza zaidi ya 4% ya $10400.
Yaani kila ukifunga position ndio iwe beginning account kwa huo muda uliofunga tuone Kama utaweza.
If the desire is really there you'll find otherwise seek exit door with excuse.
Pia elewa kila kitu Ni betting sema kila kiumbe anapiga hesabu ya kupata odds nyingi za kufanikisha deal ama game analo play.
Hata cheetah anatafuta odds kabla ya kukimbia ndio anamkimbiza swala.
Hata demu kabla ya kukubali huwa anapiga hesabu za odds za kunufaika na uhusiano wako kabla ya ku pull the trigger.
Mbona unaogopa betting,unapooa una uhakika mkeo atakuzalia,unaposoma unajuaje Kama utamaliza,unaposafiri unajuaje Kama utafika mwisho wa safari,unapolala huna uhakika kuwa Kama utaamka.
People loves certainty while our real life situation is to embrace uncertainties. Hii need ya human being ya certainty ndio mtaji wa sangoma na wachungaji uchwara wa kukuambia kesho yako itakuaje.
Listen my friend!!
You don't see then believe but you believe then see.
Trading is just your own soul/spiritual journey adventure/quest.
Mwishoni kabisa you'll leave all your ego,greed,fear,hope, revenge,live in now moment not past/future, you'll be humble. You won't ever ever and ever again play macho with market or even in life.
Ngoja nikuache.
Kiufupi Trading Ni ngumu sio Kama media zinavyoitangaza kuwavuta newbies wakapoteze hela brokers wa keep their kids in private schools,wale vizuri.
Yaani your own attitude Ina determine Kama utafaulu hili game ama la.
Listen this is the hardest endeavor ever known to humankind and is the one of the most lucrative business in the planet.
But be ready to lose everything in your life. Are you ready?
Do another shitt life isn't about all trading.
In this area many are called but few are singled out.
Usitumia msuli fanya hiyo task niliyokupa tuone weka hata capital ya $100k Ni ilimradi ufuate the same risk principle of drawdown.
Ili iweje?Bro nakuomba tuwasiliane kwa whatsapp namba 0626517799 au 0785870804 tafadhali nakuomba