Forex sio utapeli na ninajuta kuchelewa kuiamini

Broker hapana Hana shida,Ila usiitumie broker anayetokea Africa . Tumia broker WA uhakika mfano FBS anadhamini timu ya Mpira ya premier uingereza,au Pepperstone na broker wengine kadhaa.
Kila heri
Shukrani kaka
 
Nimekupata kiongozi... huyo jamaa wa richard dennis ana kitabu?
 
Tafuta reputable brokers ambao wako highly regulated. Cheki ambao wanakuwa regulated na asic , FSA,chagua broker wa Australia and uk ambaye kampuni take iko registered huko. Pia cheki namba yake uone Kama amejisajiri na hizo regulatory bodies. Pia ambao leverage isn't more than 1:33. Hiyo ndio maximum allowable leverage kwa brokers ambao wako highly regulated
 
Nilikua nafatilia broker mmoja icmarketd ila nikakwama kufungua account kwa tanzania... nw natrade demo ya fxpro
 
Ok ,Mimi sina shida na kutafiti broker Kwa miaka hii sita michache niliyopo ndani ya tasnia ,nilishavuka stage hiyo zamani. Nimempa clue tu,ajiongeze mwenyewe
6 years una experience za kutosha mzee .. swali la kizushi can u trade for a living? Yani uwe huna side hustles ni ww na trades tu labda una mishe za kuzugia lkn ur main income comes from trade..
 
Nilikua nafatilia broker mmoja icmarketd ila nikakwama kufungua account kwa tanzania... nw natrade demo ya fxpro
Td365 Tumia huyu. Pia huyu Hana Bei kubwa mno wengine financial instruments zao ziko juu. Yupo twice ana kampuni ambayo iko Australia na nyingine iko Bahamas huko Kuna leverage ya 1.200 Ila asic wanalimit 1:33 ndio wako poa. Mwingine Ni cmc ,ig market sema Wana Bei kubwa mno hao.
 
6 years una experience za kutosha mzee .. swali la kizushi can u trade for a living? Yani uwe huna side hustles ni ww na trades tu labda una mishe za kuzugia lkn ur main income comes from trade..
Hizo six years Ina depend Ni jinsi gani. Mana huwezi kuta aliye dedicate the whole six years na mwingine ukipiga hesabu average ya two hours per day kwa hizo six years.
Pia he alikuwa anasoma mno kucheki video za trading ama alikuwa anapractice skills zake. Muda sio kigezo. Ukiwa na mtu sahihi akakuambia Cha kufanya nadhani mwezi wa tatu tokea kuambiwa waweza kuwa unameki money.

Pia swali lako ulilouliza ingawa hujaniuliza mie na doubt your understanding about this industry. You've to look in yourself.
 
Thats why i came here ili nipate ujuzi wa hii kitu... the ups and downs and the discpline needed to trade for a living...
I mean trading my own money in a long run.. na sio za investors

I know trading is a lonely journey
 
Thats why i came here ili nipate ujuzi wa hii kitu... the ups and downs and the discpline needed to trade for a living...
I mean trading my own money in a long run.. na sio za investors

I know trading is a lonely journey
Sure mkuu it's very lonely journey na ndio Mana nadhani wengi wanafundisha ili just interaction na wengine. Na pia mkikutana hustlers Kama watatu ama wawili wenye the same ambition Kama ya Ile washkjai wanaozamia Europe through Mediterranean sea.wana ambition moja tu ya get Europe or die getting to Europe. Tunaweza tukawa na group japo kutoana boredom na kulishana ama kuelekezana ideas Ila sio la biashara just because we share the same common interests. Tunapiga story za trading Mana wengine za mbususu hatuwezi
 
Yap i agree we gotta work on that mzee... mana kuishi kichwani muda wote kwenye charts no workmates no office politics unaweza kudata...
Kuna story moja ya trader nilisoma jamaa alikua profitable tu ila upweke was eating him inside akawa anajidunga tu mitungi afya ikazorota mno
 
Inabid kuenjoy sana na watu kukaa peke ako ni mtiha, lazima uboeke
 
Kaka keisangora umeongea kitu muhimu Mimi mwenyewe huwa nasema laiti ningeijua safari ya trading I could have never started..but Unashukuru Mungu sababu yako makusudi na kitu kikubwa na kuona unabadilika na unaelewa nini kinafanyika sokoni..inahitaj angalau miaka 3 hadi 5 kuifkia ndoto kubwa ya kuwa successful trader sababu try and error ni nyingi njiani ila ukikomaa unafika salama kama unavumilia kufanya kazi miaka 20 ama 30 uje ulipwe pension utashindw kuvmlia miaka 3 hadi 5 ufikie ndoto za financial freedom?...Its possible...Mim nilisema nitaacha trading siku moyo wangu umesimama na kama nilianza safar basi ni lazima niimalize...Maanguko ni mengi lakini bado tunaisubri ile asubuhi njema kwetu

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…