Forex sio utapeli na ninajuta kuchelewa kuiamini

HIzo ni boom mkuu, ni tamu sana ukizijulia
Yah kaka mi nazipiga hizo ila nakula blocks Tu...since juzi nilikua na B1K namsell nimetoka Leo jioni...namsubr B3 hivi Mungu akipenda kesho naweza Ku deal nae..Nimefurah kuona unapiga booms na crash bro..umenibariki pia mana hii safari ina mambo kibao

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Crash anazingua sana.
Kwasasa napiga crash 300 kidogo,
Zaidi niko na boom 300, 500 na 100.
Mfano kwasasa boom itasell wiki nzima hii inayoanza
 
 
Ukifanya kitu many times as often as possible then it become subconscious level sijui ndio iyo unayosema spiritual. Ila unafika level ambayo you do things that you can't explain at concious level or at rational/logic level.
You nail it. This is for any career/profession
 
Crash anazingua sana.
Kwasasa napiga crash 300 kidogo,
Zaidi niko na boom 300, 500 na 100.
Mfano kwasasa boom itasell wiki nzima hii inayoanza
Yes bro...Niko nasubr tu hapa kumwasha na pia nasubr Buy ya C300....Let's brace the process bro

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Do you really real mean this shiiit from in the deepest core of your [emoji3590]
Yes Brouh...I have been through a lot...it was never easy...almost half ride of a hell..Namshukuru Mungu nimevuka Salama...Ndo maana as you said wakitoa kila kitu kichwani huwezi kukubali kuanza upya kusoma forex the journey was tough,the long lonely journey,crying alone in the midnights after blowing accounts...It was tough but worth today.. I thank God for the heart I didn't give up...ukiweza kustahimili mapigo ya forex hakuna kitu duniani kitakuogopesha..It teaches you to be a man at the age of 14yrs

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Do you really real mean this shiiit from in the deepest core of your [emoji3590]
Anzisha lile group kaka ulokua unasema kwa ajili ya discussion ya inshu za trading kufarijiana this journey kama haujajitoa kikamilifu utakimbia asubhi...it tends to give you maximum pain before those huge profits in real life

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Sure Trading inasaidia Mambo mengi like how to remove fear
 
Sio kufundishana kihela. Sema saivi Mara nyingi sipendi external disturbance. Yaani huwa napenda nikomae na my own brain. Mana hii kitu iko too much subjective so to be objective inabidi ukomae mno. Nadhani hata hapa hapa panatosha. Mana pia mameseji kwenye simu smt Ni kero kwangu binafsi.tafuta strategy komaa nayo owe Black and White. Yaani mie hapa nilipo nawaza niwape watu akaunti wawe wanafanya baada ya kuwa nimewapa my own rules. Ujue kinacho trade Ni rule Wala sio wewe. Sema wewe unahangaika mno ku create rules of the system baada ya hapo unakuwa robot aka objective Trading signals
 
Nailed everything.. External noise pia ni tatizo...mfano Mimi niliamua ku exit groups zote za forex nijitafute na nika stick na kile nilichojifunza..and that's how we go

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Nilikua nafatilia broker mmoja icmarketd ila nikakwama kufungua account kwa tanzania... nw natrade demo ya fxpro
Mtumie EXNESS yuko vizuri, pia unaweza diposit na withdraw kwa mpes tigopesa nk

Ila kuwa verified na huyo broker ni kisanga.
 
Thx
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…