Forex Trade imeniumiza

Forex Trade imeniumiza

Habari Wakuu,

Baada ya kusoma soma sana na kujifunza Forex, na kuona mwenzangu amefanikiwa sana na Forex Trade, niliamua na mimi niingie kuyaoga haya maji kwani hamna mtu hapendi ma isha mazuri.

Nikaanza vyema na 300 USD kwa wale wanaofahamu dowjones. Nilifanikiwa kwa kweli mpaka balance ikawa kubwa 1000 USD.

Pale ndipo balaa lilipoanza kwani kabla sijfunga na kufungua macho, week iliyopita siku ambayo sitaki kuikumbuka, pale nilipofunga na kufumba na kufumbua macho, trade ilienda tofauti kabisa na kufuta balance yangu yote.

Hapa nilipo sina hamu tena ya hii kitu

Naombeni ushauri nirudi upya na nguvu au nikalime tu.

Mmc
Lot size ulizokua una weka ukiwa na 300usd ungetumia hizo hizo ukiwa na 1000usd.
 
Mkuu si ulikuwaga unadanrodi hela zama za ontario mwamba wa jangid plaza
Niliacha kitambo kaka, kuna mshikaji anaitwa Gasper aliniuzia Robot lake linalotrade automatic...

Lilikuja likaunguza account yangu ya $4000.

Halafu tena kuna yule mshikaji anaitwa Gammy walikua pale Mlimani Tower, walinichomea account yangu ya $1000 walikua wanafanya Account Management mwisho wa mwezi tunagawana profit 60 to 40.

Mpaka leo sijainuka tena. Ndio nataka nirudi sasa.
 
Ukome
 
Dah wamekupiga dollar 5000 tayari duh!

Kumbe yale maroboti yanatafunaga hela mle😂😂😂
 
Kinachoponza kwenye forex ni tamaa ya pesa ya haraka.
Watu wana force soko hata kama haliko vizuri anaingia.
Pili kutumia lot size kubwa
Alivoikuza acc yake toka 300 mpk 1000,angeenda nayo taratibu hivo hivo
 
Br unkifahamu kilimo vizur au hko sio kimbilio la walio shindwa...kunaitaji mikakati mzuri na fungu la kutosha...
 
Habari Wakuu,

Baada ya kusoma soma sana na kujifunza Forex, na kuona mwenzangu amefanikiwa sana na Forex Trade, niliamua na mimi niingie kuyaoga haya maji kwani hamna mtu hapendi ma isha mazuri.

Nikaanza vyema na 300 USD kwa wale wanaofahamu dowjones. Nilifanikiwa kwa kweli mpaka balance ikawa kubwa 1000 USD.

Pale ndipo balaa lilipoanza kwani kabla sijfunga na kufungua macho, week iliyopita siku ambayo sitaki kuikumbuka, pale nilipofunga na kufumba na kufumbua macho, trade ilienda tofauti kabisa na kufuta balance yangu yote.

Hapa nilipo sina hamu tena ya hii kitu

Naombeni ushauri nirudi upya na nguvu au nikalime tu.

Mmc
Umekata tamaa mapema sn,hkn biashara km forex mkuu
 
Back
Top Bottom