Forex Trade imeniumiza

Nilianza $ 100 one year's ago I using risk management Sir,, me nakimbiza Xauusd na Btc only mzemkav,, currency nliona znanpimia kuniingiza box xn so nliamua kutumia formula za riverpool ile ya 4, 4 2 🤣😂😂 ( jks )
Hata mimi nakomaa na xauusd tu mzee baba naisoma kwanza af ndo niweke mpunga nw natrade demo tu kama mwezi wa nne huu...

Sijajua tu kama kutakua na tofauti kubwa sana kwenye real account... nishatrade real zamani ila sikua na mtaji mkubwa na nilikua naingia trades kwa hisia tu sio knowledge
 
Yani umeongea vitu vya kawaida sana kwenye issue nzima ya FX. Endelea kutafuta elimu.
 
Real account na Demo account it's The same Sir,, matukio ya Demo na real it's the same ixpokua real ni pesa yako utaitumia kupiga pips na demo ata ukipg pips xio zk ni kuikuza knowledge ili ukianza real ujue nn kitakutokea uki gusa ile batan ya buy or sell 🤣😂😂 ..... !!!
 
Nikikupa mtaji wa dollar 3000 naomba nichoree hapa mpango wako wa RM.

Tuone kama kweli umekwiva.
 
Demo na real ni maziwa na tui la nazi vinafanana ila ladha tofauti kabisa, trade real tumia low possition sizing
 
Nikikupa mtaji wa dollar 3000 naomba nichoree hapa mpango wako wa RM.

Tuone kama kweli umekwiva.
Siku hizi hakuna aja ya kurisk pesa zote izo toa 500£ purchase ftmo acc za dola elfu kumi kumi mara tano angaika na sticky.objectives kuwa funded piga pesa
 
Nikikupa mtaji wa dollar 3000 naomba nichoree hapa mpango wako wa RM.

Tuone kama kweli umekwiva.

Kwa 3000 mzee baba kwanza kabisa ,anza na hizo lot size hapo

high risk 6.00
mid risk 3.00
low risk 0.30
 
Mkuu una
Forex na binary/deriv zote zinatumia charts hizo hizo tofauti ni binary inapatikana mt5 pekee.

Mimi sikufundishwa binary bali nilitumia uzoefu wa forex
Mkuu unatumia strategy gani au unaindicator gani ulizo set au umelisoma game tu??? Ninatrade demo ya binary lakn nakula loss mnoo
 
Mkuu una

Mkuu unatumia strategy gani au unaindicator gani ulizo set au umelisoma game tu??? Ninatrade demo ya binary lakn nakula loss mnoo
Mkuu kutrade synthetic kuna siri ya ajabu.
Jifunze tabia zao utagundua kitu kizuri sana.
Pili ninatrade kwa ku scalp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…