Simon Adebisi
JF-Expert Member
- Aug 7, 2018
- 1,224
- 2,337
Hata mimi nakomaa na xauusd tu mzee baba naisoma kwanza af ndo niweke mpunga nw natrade demo tu kama mwezi wa nne huu...Nilianza $ 100 one year's ago I using risk management Sir,, me nakimbiza Xauusd na Btc only mzemkav,, currency nliona znanpimia kuniingiza box xn so nliamua kutumia formula za riverpool ile ya 4, 4 2 🤣😂😂 ( jks )
Sijajua tu kama kutakua na tofauti kubwa sana kwenye real account... nishatrade real zamani ila sikua na mtaji mkubwa na nilikua naingia trades kwa hisia tu sio knowledge