Forex Trade imeniumiza

Sasa the difficult part ni huyu mwalimu,the trade ya kubuy lazima ishuke kwanza,na you cant put stop loss untill you know itashuka mpaka wapi,thats where the challenge comes in.
Mkuu marker huwa inatengeneza zone, ama high hingh and lower lows, ambapo mostly zone zikivunjwa market hurudi ku retest na kwenda juu ama chini zaidi sasa wewe kushindwa kujua market itashuka mpaka wapi hayo ni mapungufu ya skills zako sokoni

Unaweza kutumia fibo kwa confirmations zaidi
 
Mnajipaga sana matumaini mkisha pigwa baada ya kuwakabidhi wanaume wengine hela zenu kizembeeeee
 
Komaza shingo
 
Dowjones unaijua unaiskia unaiendea na lot tembo,tatizo watu hawataki kugrow kidogo kidogo na vimtaji vyenu vya ngama nakuapia hutofanikiwa hasilani ka.a hutokubaliana na slowly growth,

forex ipo ila unakuta mtu anatrade kana kwamba fx inafungiwa kesho,utajifunza in hard way. Stop gambling anza kutrade,stop bE reactive in loss or profit be neutral, siku zote tumia stoploss hata kama ni ndefu au fupi ,hata kama unasema ina retrace 40pips inatosha kukuambia upo wrong, possition sizing ni muhimu sana sana

hakuna raha kama kuprotect mtaji uwep wakati wote maana opportunity nzuri zipo nyingi sana.

trader wwngi nilichowagundua ikiwemo mimi wao waiingia ktk chart ni kutafuta entry tu chasing is all they know, kama mtu anaecheza lotto akipigwa anatia stake dk iyo iyo, ukifanya ivo ktk fx utaishia kuwa maskini,


focus kulielewa soko kuelewa parttens,Market setiment, kuwa na nidhamu fikiria sana probability than 100winning, jua kwamba trade yako uliyoichukua kulingana na plan na vigezo vyako ni trade nzur hata iwe imehit stoploss ,usiannze kutwist zones sijui trendlines mara baada ya kuwa stopped out ili tu uchukue trde ingine iyo ndo itakua bad trade hata kama utawin,

usiwe mtu wa show off mara useme nipige screenshot nipost n.k we take profit,or loss rudi ktk journal yako jiulize review nilifanyaje fanyaje na next time nifanyaje au ni stick ktk kipi
 
Chukua FTMO challenge wanatoa mtaji hadi $200,000(400+millions za kibongo)
akanunuwe akaunti,ndo atqkapojuq ugumu wa fx upo wapi,challenge nzuri sana kwa trader anaJifunza asiende demo y kaqaida ajaribu free trial yq ftmo atakua nondo sana ktk suala la kuhwshim rules, akishapass challenge tatu ndo afund acc
 
Umemaliza mkuu asipoelewa hapa basi. Na ni kweli anaonekana mgeni wa game YAANI $1000 kuwaka moto unachanganyikiwa asee??? Wengine tukikueleza tuliyopitia katika forex kuamini kwako itakuwa vigumu sana.
 
Michael mwenyewe alisena fx haina fundi na kila mtu anapigwa pesa, ila nidhamu ya kuweza kufuata misingi uliyoiweka mwenyewe na psychology ndo vitakufanya uwin fx.
 
Hujui matumizi ya SL and TP mkuu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…