Forex Trade imeniumiza

Forex Trade imeniumiza

Huna nidhamu wewe, hiyo adhabu inakutosha lakin pia inaweza isikutoshe kama hautaitafuta hiyo nidhMu full stop
 
Forex ni kamali, FULL STOP.
Kuna watu wanajiita wataalam na wamefanya hiyo kitu miaka mingi na bado wanaunguza mara kwa mara! Bora kubeti.
Unasema forex ni kamali Hahahah sawa siku hizi hata hatubishani wa watu mnaosema forex ni scam maana it's pointless hahaha naendelea kucheka hahahaha
 
Habari Wakuu,

Baada ya kusoma soma sana na kujifunza Forex, na kuona mwenzangu amefanikiwa sana na Forex Trade, niliamua na mimi niingie kuyaoga haya maji kwani hamna mtu hapendi ma isha mazuri.

Nikaanza vyema na 300 USD kwa wale wanaofahamu dowjones. Nilifanikiwa kwa kweli mpaka balance ikawa kubwa 1000 USD.

Pale ndipo balaa lilipoanza kwani kabla sijfunga na kufungua macho, week iliyopita siku ambayo sitaki kuikumbuka, pale nilipofunga na kufumba na kufumbua macho, trade ilienda tofauti kabisa na kufuta balance yangu yote.

Hapa nilipo sina hamu tena ya hii kitu

Naombeni ushauri nirudi upya na nguvu au nikalime tu.

Mmc
kwanini ulipoona zimeongezeka usichomoe afu ukaweka tena upya 300USD na ile 700USD ukaiweka mfukoni kama faida?

kwahilo uliyumba hakuna wa kulaumiwa. wamekuwahi wakakupiga. Wee ulipoona zimeongezeka ndo ingetakiwa uwawahi uzichomoe fasta.
 
Jana usiku wa manane nimeota kuwa kuna watu wameambiwa kuwa udaktari unalipa sana basi wakaenda kwenye mitandao na google kujifunza udaktari kwa wiki moja kisha wakaanza kufanyia watu upasuaji wa moyo na ubongo.

Kwenye hiyo ndoto nimeona maelfu ya wagonjwa wakifa baada ya kufanyiwa operation hizo za elimu ya kulipua.
 
Sasa the difficult part ni huyu mwalimu,the trade ya kubuy lazima ishuke kwanza,na you cant put stop loss untill you know itashuka mpaka wapi,thats where the challenge comes in.
Ni lazma ishuke ndyo as part ya market movement lakn inategemea na entry mkuu,manake utaweka SL just below your entry na kama itakua smashed manake ni market ime break structure kama itakua na correct entry kwa kuzingatia una buy low(kwenye impulsive move baada ya pullback kuisha),Forex is a long tough journey unahitaji tough skin kubaki kwenye market, the journey is long but is worth kam utakua na focus na skills sahihi hasa PPA

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Afadhali wewe uliye pata kahasara ka dola 300 - 1,000 usd, wengine huku ‘marudio ya dhahabu’ yame tufanya vibaya sana! Siyo hasara za mitaji tuu siku ya mwisho tume ambulia gonjwa la presha ya kupanda, lakini bado maisha yana songa mbele!
 
Afadhali wewe uliye pata kahasara ka dola 300 - 1,000 usd, wengine huku ‘marudio ya dhahabu’ yame tufanya vibaya sana! Siyo hasara za mitaji tuu siku ya mwisho tume ambulia gonjwa la presha ya kupanda, lakini bado maisha yana songa mbele!
Pole Sana, ndio biashara zilivyo. Kuna kupata na kukosa.
 
Come invest local platform account activation , 15000 minimum deposit 20000 maximum 200000 profit 25 %fir 3 days na 55% for 7 days, multiple investment allowed Baada ya 24hrs after your last investment
Dm for link for registration.
 
Sasa the difficult part ni huyu mwalimu,the trade ya kubuy lazima ishuke kwanza,na you cant put stop loss untill you know itashuka mpaka wapi,thats where the challenge comes in.

Kwa ulichoandika hapa sishangai why umeunguza Akaunti

Yaani mweupe kabobs
 
Come invest local platform account activation , 15000 minimum deposit 20000 maximum 200000 profit 25 %fir 3 days na 55% for 7 days, multiple investment allowed Baada ya 24hrs after your last investment
Dm for link for registration.
Usijaribu utakuja kunishukuru, nimemaliza
 
Unaweza iita forex vyovyote kulingana na unavyoifanya, u can trade like gambling na pia unaweza yrade kama biashara hata matokeo yatatofautiana,

mind set yako ndo itakupa matokeo chanya au hasi, watu wanasEma nikiwa na ml 5 ml kumi nitqtrade bila stress na nitapata faida, ila unaweza ichoma pia usipoweka mind set ya biashara, soko haliitaji hasira zako, haliitji ujuaji wako,haliitaji sala zako,haliitaji jinsia yako,haliitaji uchu wako wa pesa ,wala pupa zako

unahitaji utrade ukiwa comfortable ,less emotional,fairly confident,highly desciplined and focused , Hakikisha sokoni untoka kwa break even au loss ndogo, au profit kubwa,

hakikisha hautwist analysis iendane na bias zako, kuwa makini na news,
follow momentum preferable 1W kwa daily trader
 
Back
Top Bottom