martinezstavo
JF-Expert Member
- Jun 30, 2020
- 735
- 1,552
Huna nidhamu wewe, hiyo adhabu inakutosha lakin pia inaweza isikutoshe kama hautaitafuta hiyo nidhMu full stop
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasema forex ni kamali Hahahah sawa siku hizi hata hatubishani wa watu mnaosema forex ni scam maana it's pointless hahaha naendelea kucheka hahahahaForex ni kamali, FULL STOP.
Kuna watu wanajiita wataalam na wamefanya hiyo kitu miaka mingi na bado wanaunguza mara kwa mara! Bora kubeti.
kwanini ulipoona zimeongezeka usichomoe afu ukaweka tena upya 300USD na ile 700USD ukaiweka mfukoni kama faida?Habari Wakuu,
Baada ya kusoma soma sana na kujifunza Forex, na kuona mwenzangu amefanikiwa sana na Forex Trade, niliamua na mimi niingie kuyaoga haya maji kwani hamna mtu hapendi ma isha mazuri.
Nikaanza vyema na 300 USD kwa wale wanaofahamu dowjones. Nilifanikiwa kwa kweli mpaka balance ikawa kubwa 1000 USD.
Pale ndipo balaa lilipoanza kwani kabla sijfunga na kufungua macho, week iliyopita siku ambayo sitaki kuikumbuka, pale nilipofunga na kufumba na kufumbua macho, trade ilienda tofauti kabisa na kufuta balance yangu yote.
Hapa nilipo sina hamu tena ya hii kitu
Naombeni ushauri nirudi upya na nguvu au nikalime tu.
Mmc
Ni lazma ishuke ndyo as part ya market movement lakn inategemea na entry mkuu,manake utaweka SL just below your entry na kama itakua smashed manake ni market ime break structure kama itakua na correct entry kwa kuzingatia una buy low(kwenye impulsive move baada ya pullback kuisha),Forex is a long tough journey unahitaji tough skin kubaki kwenye market, the journey is long but is worth kam utakua na focus na skills sahihi hasa PPASasa the difficult part ni huyu mwalimu,the trade ya kubuy lazima ishuke kwanza,na you cant put stop loss untill you know itashuka mpaka wapi,thats where the challenge comes in.
Hata Kama anatrade VX75 yenye pesa nyingi, huwezi kupata 50% profit kila siku.Unatrade indices au?
Pole Sana, ndio biashara zilivyo. Kuna kupata na kukosa.Afadhali wewe uliye pata kahasara ka dola 300 - 1,000 usd, wengine huku ‘marudio ya dhahabu’ yame tufanya vibaya sana! Siyo hasara za mitaji tuu siku ya mwisho tume ambulia gonjwa la presha ya kupanda, lakini bado maisha yana songa mbele!
Kwenu mnachezaga biashara mliyoibatiza kwa jina la forex? Mnakosea sana kuifananisha forex na kamari.Forex siyo biashara, ni kamari.
Mkuu endelea kula mbususu tu mambo ya forex hayakuhusu.Mnajipaga sana matumaini mkisha pigwa. Endeleeni kupigwa tu na vijichange zenu hamna namna kwasabab hamsikii. Ungekuwa mjanja ungelima hata kabustani kambogamboga uwani kwa shemeji yako ungetoka kiaina na kukuweka busy.
Trust me I can trade for you and make big profit bro[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Ndo namshangaa anachomaje account? SL hajui au?Cardinal rule forex trading- never ever risk more than 2% of equity. Stop loss lazima.
Sasa the difficult part ni huyu mwalimu,the trade ya kubuy lazima ishuke kwanza,na you cant put stop loss untill you know itashuka mpaka wapi,thats where the challenge comes in.
Usijaribu utakuja kunishukuru, nimemalizaCome invest local platform account activation , 15000 minimum deposit 20000 maximum 200000 profit 25 %fir 3 days na 55% for 7 days, multiple investment allowed Baada ya 24hrs after your last investment
Dm for link for registration.
[emoji3][emoji3][emoji3]Rudia tena n tena mpk damu ikutoke maskioni
Best advice😍ushauri wa kwanza kabisa tunaotoa hapa JF kwa matukio kama haya ni kukwambia komaa na shughuli iliyokupatia ile dola 300 ulioanza nayo