- Thread starter
- #81
ni makosa tu ,ila strategy yangu was to have a bigger account and trade on small lots few,ila siku hiyo shetani aliingiakwanini ulipoona zimeongezeka usichomoe afu ukaweka tena upya 300USD na ile 700USD ukaiweka mfukoni kama faida?
kwahilo uliyumba hakuna wa kulaumiwa. wamekuwahi wakakupiga. Wee ulipoona zimeongezeka ndo ingetakiwa uwawahi uzichomoe fasta.