Forex Trade imeniumiza

Forex Trade imeniumiza

kwanini ulipoona zimeongezeka usichomoe afu ukaweka tena upya 300USD na ile 700USD ukaiweka mfukoni kama faida?

kwahilo uliyumba hakuna wa kulaumiwa. wamekuwahi wakakupiga. Wee ulipoona zimeongezeka ndo ingetakiwa uwawahi uzichomoe fasta.
ni makosa tu ,ila strategy yangu was to have a bigger account and trade on small lots few,ila siku hiyo shetani aliingia
 
Vitu vingine mnajitakiaga wenyewe,wewe ushaingiza $700 za juu, kwa nini usingezitoa ubakishe kianzio chako cha $300,

ulijua togwa hilo kila siku lipo kwenye chupa tu haliishi?
hii inategemea na strategy ya mtu mangi,makosa yapo ,we learn from mistakes,ila nimepokea maneno yako kama motivation
 
Habari Wakuu,

Baada ya kusoma soma sana na kujifunza Forex, na kuona mwenzangu amefanikiwa sana na Forex Trade, niliamua na mimi niingie kuyaoga haya maji kwani hamna mtu hapendi ma isha mazuri.

Nikaanza vyema na 300 USD kwa wale wanaofahamu dowjones. Nilifanikiwa kwa kweli mpaka balance ikawa kubwa 1000 USD.

Pale ndipo balaa lilipoanza kwani kabla sijfunga na kufungua macho, week iliyopita siku ambayo sitaki kuikumbuka, pale nilipofunga na kufumba na kufumbua macho, trade ilienda tofauti kabisa na kufuta balance yangu yote.

Hapa nilipo sina hamu tena ya hii kitu

Naombeni ushauri nirudi upya na nguvu au nikalime tu.

Mmc
Inaonekana haukuwa na Stop Loss, licha ya ivo, haukuwa na trading plan. Trading plan hujumuisha entry iwe wapi na exit yako itakuwa wapi. Trading haifanani na kupanda basi, ukaona linaondoka basi ukajua umemaliza kazi. Take time kujifunza na karibu tena sokoni, now utakuwa makini zaidi. Ukiwa na muda tafuta kitabu kinaitwa Trade Like a Casino.
 
Habari Wakuu,

Baada ya kusoma soma sana na kujifunza Forex, na kuona mwenzangu amefanikiwa sana na Forex Trade, niliamua na mimi niingie kuyaoga haya maji kwani hamna mtu hapendi ma isha mazuri.

Nikaanza vyema na 300 USD kwa wale wanaofahamu dowjones. Nilifanikiwa kwa kweli mpaka balance ikawa kubwa 1000 USD.

Pale ndipo balaa lilipoanza kwani kabla sijfunga na kufungua macho, week iliyopita siku ambayo sitaki kuikumbuka, pale nilipofunga na kufumba na kufumbua macho, trade ilienda tofauti kabisa na kufuta balance yangu yote.

Hapa nilipo sina hamu tena ya hii kitu

Naombeni ushauri nirudi upya na nguvu au nikalime tu.

Mmc
Niongeze kwa kusema hizo pairs Indices CFD kama US30 (Dow Jones), US100 n.k hizo pairs zipo kasi sana, si nzuri kwa kuanzia nazo trading, maana hazifanyi reversal kirahisi, zina kasi sana na margin requirements ni kubwa kwa most brokers. Focus on the 28 currency pairs, achana na CFDs kwanza, ikiwezekana hata Gold na Silver don't trade them mpaka uwe mzoefu.
 
Chukua FTMO challenge wanatoa mtaji hadi $200,000(400+millions za kibongo)
Umejibu vizuri sana[emoji28] na naomba niongeze jambo. You'll never know kama haujui how to trade professionally mpaka siku utakapofanya challenge za Prop. firms. Hata the best trader anaweza kalia kijiti[emoji23] trading your own money inaweza kuwa aggressive lakini, trading other people's money inataka discipline ya kufa mtu. Nlifanya hizo challenge na si uongo zimenijenga sana hasa kuzingatia 5-10% drawdown.
 
Niongeze kwa kusema hizo pairs Indices CFD kama US30 (Dow Jones), US100 n.k hizo pairs zipo kasi sana, si nzuri kwa kuanzia nazo trading, maana hazifanyi reversal kirahisi, zina kasi sana na margin requirements ni kubwa kwa most brokers. Focus on the 28 currency pairs, achana na CFDs kwanza, ikiwezekana hata Gold na Silver don't trade them mpaka uwe mzoefu.
wanataka hela za chap chap mkuu , acha waendelee kucheza na broker
 
Umejibu vizuri sana[emoji28] na naomba niongeze jambo. You'll never know kama haujui how to trade professionally mpaka siku utakapofanya challenge za Prop. firms. Hata the best trader anaweza kalia kijiti[emoji23] trading your own money inaweza kuwa aggressive lakini, trading other people's money inataka discipline ya kufa mtu. Nlifanya hizo challenge na si uongo zimenijenga sana hasa kuzingatia 5-10% drawdown.
Zile zinakuaga sio real money

Hazina tofauti na demo

So u traded demo[emoji2]
 
Zile zinakuaga sio real money

Hazina tofauti na demo

So u traded demo[emoji2]
Unafanya challenge ukipita unakuwa na live account. FTMO hawatoi live ila other firms mfano My Forex Funds wao wanakupa live. Nishakula hela zao kwa profits za bi-weekly (every after 2 weeks), sema kuna account pia nliunguza on the process. Pale si unajua kuunguza ni kufika 10% drawdown, hali imenibadilisha sana hata nkitrade pesa yangu,maximum drawdown ni same limits 5-10% tena mostly nabakia kwenye 5%. SoMo kubwa unalojifunza kwenye prop. firms ni protect you capital, risk management at the core nafikiri.
 
Mnajipaga sana matumaini mkisha pigwa. Endeleeni kupigwa tu na vijichange zenu hamna namna kwasabab hamsikii. Ungekuwa mjanja ungelima hata kabustani kambogamboga uwani kwa shemeji yako ungetoka kiaina na kukuweka busy.
Wana vi term vyao
Pips
Mentor
Stop loss
Ni type fulani ya wajinga wanaitapeliwa kijinga sana.
Hakuna kitu sitaki hats kukisikia kama hizo forex sijui bitcoin
Forex unayoweza kunishawishi ni ile ya wale wenye maduka ya kubadilia fedha
Lakini hawa wa kushinda na simu chumbani kutwa kukodolea macho graphs zao hamna kitu
Nawajua watu 10 waliokua wanafanya hayo,mpaka sasa hawataki hata kuisikia
 
Sent from my SM-J730GM using JamiiForums mobile app
Rigidity

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Wana vi term vyao
Pips
Mentor
Stop loss
Ni type fulani ya wajinga wanaitapeliwa kijinga sana.
Hakuna kitu sitaki hats kukisikia kama hizo forex sijui bitcoin
Forex unayoweza kunishawishi ni ile ya wale wenye maduka ya kubadilia fedha
Lakini hawa wa kushinda na simu chumbani kutwa kukodolea macho graphs zao hamna kitu
Nawajua watu 10 waliokua wanafanya hayo,mpaka sasa hawataki hata kuisikia
Sema Mimi binafsi, nachoamini hela ipo na you can make that consistently. Ikiwa tu, utafaulu SoMo moja dogo lakini kubwa being emotionally-even muda wote wa trading ikiambatana na risk management, ni kitu against normal programming ndio maana wengi wanafeli. Tumezaliwa na kukuzwa tukiassociate winnings na being a winner na loosing as being a loser. Hata ikiwa kwenye watu mia wanafualu 5, bado ni ushindi. It takes time conquering your own self. Ukiona una chelewa kuwin, ukaamua kuacha napo unakuwa haujakosea lakini kwa wanaofanikiwa kuvuka, life will never be the same again, Truth be told.
 
Hamna mzee
Forex ni utapeli wa kisasa wengi ninaowajua wameachana na hizo mambo na hawataki hata kusikia na walikua wananishawishi mimi kila siku nijiunge huko
 
Mie nitafia humo mkuu, Asante kwa ushauri.
 
Poa mzee
Huwezi kufa ila utafilisika
Mkuu, unaongea sana ila nadhani haujawahi kutrade on your own. Hii ni kama ngoma ya asili, huwezi kuelewa hadi uingie ucheze. Na haujui how long I've been in business, kwa kifupi kwa stage nliopo situmii mtaji wangu, natumia mtaji wa kampuni (prop. firm trading, you can Google that). Nishavuka vihunzi vingi, me nafikiri 5-10 years there's a lot to celebrate siwezi leo nikaondoka kambini,ntakuwa nakosea. Traders wa kweli hawaongei sana, mfano huyu jamaa huwa namkubali sana, very calm na sijawahi muona akijibizana na watu ovyo ovyo tangu nijiunge na Jf enzi za P.D Proxy. Heshima yako mkuu Mwl.RCT Trading is a craft, ni sawa na ukianza kufanya muziki, you may have overnight success but in the long run lazima ujifue na ujitambue wewe ni msanii wa namna gani. Siwezi kuwaongelea rafiki zako, siwezi kujua ni traders au watu wa namna gani but personally me naona nitafia hapa. Ndio kotu nachojua mbali na yale tuliosoma vyuoni na hela nimezishika na hela nishapoteza, that's how the business is, hata casino sometimes wanaliwa na wala hawafungi biashara na kwenda kufanya mambo mengine.
 
Back
Top Bottom