F35-Bomber
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 1,345
- 1,069
Mimi mwanzo yalinila Sana lakini siku hizi Kila siku napata faida Kama unahitaji njoo na mtaji wa laki 5 Kila siku nakupa faida ya laki na ishirini.Kumbuka kuweka stop-loss na pia usirisk mtaji wako zaidi ya 2%! Alafu wengi wanakosea kuweka wanawekaga entries zao karibu na pullbacks aisee haya huwa yanachoma account faster mno kama hujui kuya tredi.
Big Boys sio mafala wale, ni wakwenda nao kwa akili mno yaani katika biashara zinazohitaji kutumia akili nzuri timamu na umakini mkubwa sambamba na ku monitor psychology yako mwenyewe basi ni hii ya Forex...
hiyo laki tano mbona simple tu chukua kwa ndugu yako yoyote atakushuru sanaMimi mwanzo yalinila Sana lakini siku hizi Kila siku napata faida Kama unahitaji njoo na mtaji wa laki 5 Kila siku nakupa faida ya laki na ishirini.
hiyo laki tano mbona simple tu chukua kwa ndugu yako yoyote atakushuru sana
Tayari wanafanya ndio maana nimekushirikisha ukipenda njuu hupendi kwenda pambana na Hali yakohiyo laki tano mbona simple tu chukua kwa ndugu yako yoyote atakushuru sana
Unakitu unataka kutueleza, ila uwasilishaji wako haujafikisha ujumbe kikamilifu,Waweza eleza zaidi?Siri ya mafanikio forex mql5->Python + theano back end- >build ensemble classifier to predict buy sell hold.
Fanya kunitumia link PM, Kama hutojali, In exchange nami nitakupatia ya Telegram ambapo hujadili prop firms zote ili kubaini zilizobora, na zipi za kuepukaHio ni Discord server ya prop. firm traders
Mkuu next week naiangalia UJ naona buyers wako exhausted....EURUSD pia...naona inaondokana na choppy saga...bullish journey is on.....maana for 6 weeks haijamove kabisa....GJ too naona inaenda kukamilisha right shoulder ukiiangalia kwenye W1 and D1 tf....nipe maoni yako mkuu...
maana for 6 weeks haijamove kabisa....GJ too naona inaenda kukamilisha right shoulder ukiiangalia kwenye W1 and D1 tf....nipe maoni yako mkuu...
Sasa mkuu SL huwa unaweka ya nn kama ufanyi speculation na hzo terminology nyingine ulizotumia...Ina maana trades zako zote una win mkuu ama???
- Nilisha move on kutoka kwenye Prediction/ Speculation/ Anticipatory Trader, kama jinsi ulivyo jieleza hapo juu.
- Reactive approach ndio nakwenda nayo kwa sasa. ( Reactive Trader)
- Hivyo No comment kwa sasa.
mkuu mtu ambaye anajua soko hawezi kuja kwako .natafuta partner wa biashara ya samaki anayeweza kufanya biashara na Mimi ya Samaki kutoka ruvu upande was Simanjiro Manyara
Sifa
awe na uzoefu wa biashara ya Samaki ayajue masoko
awe na usafiri unaoweza kubeba kuanzia Tani moja( Noah dume townace au Hilux)
awe tayari kuingia moja kwa moja kwenye eneo la kutafuta samaki
awe na mtaji Kama wa kwangu au ulionizidi kidogo
Upatikanaji wa Samaki
Samaki Aina ya tilapia/Sato au perege wanapatikana kwa wingi eneo linaloitwa Zambia Mazinde Hadi Remiti wilayani Simanjiro
huku wanauza kwa ndoo ndoo moja ya tilapia ni Kati ya elf 70 Hadi 80 catfish au kambale ni Kati ya elf 40 Hadi 55
mAsoko;
tunaweza kuuza kwenye mAsoko nliyozoea kupeleka samaki
Manyema
Bei za samaki sokoni Zina range Kati ya laki na 20 Hadi 90 soko likiwa baya kwa tilapia na Kati ya sh 80 Hadi 60 soko likiwa baya
Kilombero Arusha
Bei za samaki sokoni Zina range Kati ya shilingi laki na 40 Hadi 90 soko likiwa baya kwa tilapia na Kati ya sh 80 Hadi 70 kwa kambale
kuuza kwa kg
ndoo moja ya sato au tilapia Ina kg 18kila kilo moja ni sh 7000 ukiuza kwa kilo unapata avarage ya 130000 kwa kila ndoo ya tilapia na ndoo ya kambale Ina kilo 20 kila kilo no sh 3800 ukiuza kwa kilo kila ndoo unapata 76000
changamoto ya kuuza kwa kilo no kupata mteja was kununua kg zote na kukulipa kwa cash wengi wanaopenda kukopa
kwann tufanye biashara ya samaki
ni biashara ambayo ipo real ukinunua ukifungasha ukisafirisha unajua ushakua unapata faida gani na kwa muda gani
ni biashara ambayo ukiwa nje unaweza kuwaona watu ni wajinga wanuka shombo lkn ukiingia ndani ya field Kama una mtaji nlokutajia hapo juu utapata faida haraka zaidi ya biashara yoyote
kwann nahitaji partner
niliiibiiwa mtaji Kati ya mwezi wa 8 na 9 hivyo nimeshindwa kurudi kwenye pick Kama nlivyokua mwanzoni
mawasiliano nicheki dm
Acha uhuni laki tano then kila siku laki na ishirini forex gan hiyo acha utapelTayari wanafanya ndio maana nimekushirikisha ukipenda njuu hupendi kwenda pambana na Hali yako
Watu wengi ikiwemo wewe Ni wapumbavu Sana kitu Kama hujui Kaa kimya jifunze hii kitu watu tunafanya na tunapata Ela Kila siku.wewe kwa umbumbumbu wako wanakupiga au unapata vifaida kidogo unakuja hapa kulialia tuu.Acha uhuni laki tano then kila siku laki na ishirini forex gan hiyo acha utapel
Asilimia kubwa ya trades zinafanywa na expert advisor/ trade robots moja kwa moja or via alerts. AI / neural network EA's way forward.Unakitu unataka kutueleza, ila uwasilishaji wako haujafikisha ujumbe kikamilifu,Waweza eleza zaidi?
- Ahsante kwa ufafanuzi.expert advisor/ trade robots moja kwa moja or via alerts. AI / neural network EA's way forward.
Algorithmic trading is accounted for around 60-73% of the overall United States equity trading.- Ahsante kwa ufafanuzi.
Place stop loss 3 to 5 pips below neighborhood low .Given stop loss ,calculate lot size for 2% equity loss in the event price hits stop loss.
Forex is not a holy grail! It's a profession like any other kutokana na maelezo yako inaonekana bado hauna muda mrefu kwenye game,forex ni biashara na ni pana,forex inahitaji KNOWLEDGE which covers all aspects of trading,kuanzia technical analysis, fundamentals trading psychology, risk management,strategy inayokufaa,risk management na mengine na inahitaji kuwekeza MUDA wako mwingi in trading, watu wanapozungua ni kuona kama forex ni sehem ya kutajirika haraka,which is wrong ukiingia kwenye hii game inahitaji moyo wa chuma na uvumilivu kwenye kipindi cha kujifunza the maana the pain of losing money is tough,kufanikiwa kwenye hii industry inatokana na mtu na mtu the minimum time mtu anaweza tumia kumaster trading ni kama miezi 6(Achana na kuwa profitable) hiyo ni safari nyingine but muhimu ni Ku master the art of trading the rest will come,so invest kwenye knowledge kwanza find your suitable strategy well kabla sijasahau unaweza ukatafuta mentor atakae kuongoza in trading (angalia usije kupigwa mentors wengi saiv ni scammers) tafuta mentor Legit wapo hapa bongo wengi tu, na Kama umechoma account moja tu unakuja kuandika uzi huku basi forex haikufai this industry requires emotional toughness.Forex is not for the weak,kila la kheri mkuu
Huwa tunatumia tools mbalimbali ili kujua RRRHiv unawezaje kujua hapantapoteza kiasi fulani au ntapata hela kiasi gan endapo soko litakwenda ndivyo sivyo
That's too complicated boss keep it simpleHuwa tunatumia tools mbalimbali ili kujua RRR
- Free tools waweza ikuta TV, au uka_download RRR calculator zipo nyingi free kwenye site mql5
- Au waweza kujitengenezea excell nakuitumia
Hii ndio ninayotumia ni xls
View attachment 2064805
Hapo utaona Loss ni fixed $6 kutokana na lotsize ya 0.02.
Ila TP waweza ongeza kutegemea na Pair husika
Mfano:: XAUUSD, NAS100, GBP pair huwa zinakawaida ya kukupa RRR ya 1:6 au zaidi ya hapo, Kikubwa ni entry uifanyie kwenye 5m
---
RRR = Risk/Reward Ratio