Forex Trade imeniumiza

Forex Trade imeniumiza

Mijicho

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2009
Posts
282
Reaction score
219
Habari Wakuu,

Baada ya kusoma soma sana na kujifunza Forex, na kuona mwenzangu amefanikiwa sana na Forex Trade, niliamua na mimi niingie kuyaoga haya maji kwani hamna mtu hapendi ma isha mazuri.

Nikaanza vyema na 300 USD kwa wale wanaofahamu dowjones. Nilifanikiwa kwa kweli mpaka balance ikawa kubwa 1000 USD.

Pale ndipo balaa lilipoanza kwani kabla sijfunga na kufungua macho, week iliyopita siku ambayo sitaki kuikumbuka, pale nilipofunga na kufumba na kufumbua macho, trade ilienda tofauti kabisa na kufuta balance yangu yote.

Hapa nilipo sina hamu tena ya hii kitu

Naombeni ushauri nirudi upya na nguvu au nikalime tu.

Mmc
 
Kwani unafikiri kilimo hakiwapigi watu mkuu..? Hakuna biashara isiyo na hasara chakufanya Kama unamoto na forex just focus on it uangalie ulipokosea kwanza hapo tu yaonyesha ulifanya makosa maana mpk kwenda yote so hukuweka stop loss..? Chengine baada ya kuona unapiga faida ukajiamini zaidi huku ukisahau hiyo biashara inamatokea mawili.

Naamini mafanikio yapo kwenye focus so ukiwa focus kwenye kitu sahihi na kwa usahihi yatatoka matokeo sahihi,Sasa wewe fikiri kilimo hakina hasara ndugu uje ulime nyanya sokoni ukute tenga ni alfu tatu! Nawakati nyanya zilipokuwa shambani ukifatilia bei unaambiwa bei ishirini alfu..😁

Hivi crypto currency inatofauti gani na mtu alielima mpunga na kuhold hayo magunia kwa miezi sita akisubiri bei ipande auze..? Mkuu fanya unachoweza kufanya but kuwa focus kwa kitu sahihi.
 
Sasa the difficult part ni huyu mwalimu,the trade ya kubuy lazima ishuke kwanza,na you cant put stop loss untill you know itashuka mpaka wapi,thats where the challenge comes in.
Place stop loss 3 to 5 pips below neighborhood low .Given stop loss ,calculate lot size for 2% equity loss in the event price hits stop loss.
 
Forex is not a holy grail! It's a profession like any other kutokana na maelezo yako inaonekana bado hauna muda mrefu kwenye game,forex ni biashara na ni pana,forex inahitaji KNOWLEDGE which covers all aspects of trading,kuanzia technical analysis, fundamentals trading psychology, risk management,strategy inayokufaa,risk management na mengine na inahitaji kuwekeza MUDA wako mwingi in trading, watu wanapozungua ni kuona kama forex ni sehem ya kutajirika haraka,which is wrong ukiingia kwenye hii game inahitaji moyo wa chuma na uvumilivu kwenye kipindi cha kujifunza the maana the pain of losing money is tough,kufanikiwa kwenye hii industry inatokana na mtu na mtu the minimum time mtu anaweza tumia kumaster trading ni kama miezi 6(Achana na kuwa profitable) hiyo ni safari nyingine but muhimu ni Ku master the art of trading the rest will come,so invest kwenye knowledge kwanza find your suitable strategy well kabla sijasahau unaweza ukatafuta mentor atakae kuongoza in trading (angalia usije kupigwa mentors wengi saiv ni scammers) tafuta mentor Legit wapo hapa bongo wengi tu, na Kama umechoma account moja tu unakuja kuandika uzi huku basi forex haikufai this industry requires emotional toughness.Forex is not for the weak,kila la kheri mkuu
 
Thanks for the advice,I needed some solid punchlines ili nipatie hasira na focus at same time
 
Back
Top Bottom