Habari Wakuu,
Baada ya kusoma soma sana na kujifunza Forex, na kuona mwenzangu amefanikiwa sana na Forex Trade, niliamua na mimi niingie kuyaoga haya maji kwani hamna mtu hapendi ma isha mazuri.
Nikaanza vyema na 300 USD kwa wale wanaofahamu dowjones. Nilifanikiwa kwa kweli mpaka balance ikawa kubwa 1000 USD.
Pale ndipo balaa lilipoanza kwani kabla sijfunga na kufungua macho, week iliyopita siku ambayo sitaki kuikumbuka, pale nilipofunga na kufumba na kufumbua macho, trade ilienda tofauti kabisa na kufuta balance yangu yote.
Hapa nilipo sina hamu tena ya hii kitu
Naombeni ushauri nirudi upya na nguvu au nikalime tu.
Mmc