Forex Trade: Jipatie Strategy iitwayo MK45STRATEGY bure bila malipo.

Forex Trade: Jipatie Strategy iitwayo MK45STRATEGY bure bila malipo.

ndo hiiiii😀😀😀😀😀 mbona iko simpler tu kijana wangu

ghghcvv.JPG



sasa si bora ya kwangu mkuu inaKupa haDi sehemu ya kuingilia yanii hii yako imemezwa mara zote tena kwa asilimia 100% hongera umejitaidi.

CHECK YANGU hadi news kwenye platform UNA ENJOY BILA WASI UNAINGIA KWENYE TADE HUKU UNA PIGA MSWAKI

mamc.JPG
 
ndo hiiiii😀😀😀😀😀 mbona iko simpler tu kijana wangu

View attachment 777660


sasa si bora ya kwangu mkuu inaupa hati sehemu ya kuingilia yanii hii yako imemezwa mara zote tena kwa asilimia 100% hongera umejitaidi.

CHECK YANGU hadi news kwenye platform

View attachment 777661
Hahaha una tatizo gan mzee....mbona hiyo uliyopakua haina flowers/YellowLine....?
 
Mbona kama una mshawasha mshawasha hivi...

Si umeona palivyokuwa kimya hapa, watu wanapakua na kisepa na mzigo....

Endelea kung'aza macho hapo hapo.
ndo hiiiii😀😀😀😀😀 mbona iko simpler tu kijana wangu

View attachment 777660


sasa si bora ya kwangu mkuu inaupa hati sehemu ya kuingilia yanii hii yako imemezwa mara zote tena kwa asilimia 100% hongera umejitaidi.

CHECK YANGU hadi news kwenye platform

View attachment 777661
hamna kipyaa naona ni stochastick tena ya 14 na AO na MA tena itakuwa ni 10 kwa 5 ambayo hata bila ku download mtu una weka tu acha zako
 
wadanganye hao mkuu yani unacho kionyesha ni hii hapa ambayo mtu anaweza set bila ku download
sema sasa tofauti ni rangi na urembo ulioko kwenye chati na hizo signal week za entry ambazo nimesha zijaribu na kuzitupa huko

View attachment 777670
Hahahaha hebu download upya hiyo Indicator mzee baba!

Mbona kama wewe pekeyako walalamika kati ya watu wote 30 walio download mpaka sasa.
 
Hahahaha hebu download upya hiyo Indicator mzee baba!

Mbona kama wewe pekeyako walalamika kati ya watu wote 30 walio download mpaka sasa.
sijalalamika nakueleza ukweli SIJAONA JIPYA ZAIDI YA MA YA 5 KWA 5 AO NA STOCHASTICS 5,3,3 Kwani nikiandika hivyo hunieelewi au
 
Vipi umeshajifunza Forex mkuu?
Bora uwe wakala wa broker utapiga piga vihela vya watàkaojiunga....Lakini kutrade mwenyewe lazima ule hasara ..hahaha nilikuambia forex ni kamari unaona sasa kutrade kumekushinda umeamua kuwa tapeli kama Ontario
 
Back
Top Bottom