hujaelezea vizuri sasa 5 nini 20 nini we una sifia tuStrategy ni 5 20 5 ni bonge LA strategy motooooo
Download hiyo attached zip folder, nimeweka files zote tatu.nitumie hizo file inbox
Je ametapeli nini? maana hizi indicator kuna mdau alikuwa anauza wakati yeye ka download bure forexwinnersUtapeli tu.
Hata huyu aliye post naye aliuziwa ila kaamua kupost ili nawengine waifahamu hiyo indicator.Wale wale
hapana mkuu thanksDownload hiyo attached zip folder, nimeweka files zote tatu.
Je ametapeli nini? maana hizi indicator kuna mdau alikuwa anauza wakati yeye ka download bure forexwinners
Hata huyu aliye post naye aliuziwa ila kaamua kupost ili nawengine waifahamu hiyo indicator.
Sizani kama kuna ubaya hapo.
WaTZ wanaita kujiongeza, Vijana wakajiongeza na kufanya biashara ya kuuza indicator.waambie hao madogo wawe wanamshukuru Bwana Samsul aliyetengeneza Fibowarisan..maana ndo wamekopi...na kwa kuwa Fibowarisan iliawashinda wakaamua waedit watumie vichache walivyoelewa
...na hao waasisi wenu bado wanahangaika mpk leo kujifunza Fibowarisan...sema ndo inawachomoa![]()
![]()
![]()
![]()
mkuu hiyo sio price action ni support na resistance mfano wa price action ni hivi. (PENDA KUTOFAUTISHA USIJIHANGANYE)Yapasa ie simple ili uweze kuona hata Price Action.View attachment 777664View attachment 777665
Hahahahaa hatari sana sema indicator ziko nyingi sana ila ile the best kuipata ndo tatizo, na kwenye forex winner ni bure ila bure huwa ina kasoro. mimi kukupa indiketa lazima urudishe bando langu.WaTZ wanaita kujiongeza, Vijana wakajiongeza na kufanya biashara ya kuuza indicator.
Na kundi jingine la vijana kwa sasa wanauza hii hapa: Beat the market maker-Steve Mauro | Forex Winners | Free Download
Na waTZ walivyo eti wanauza USD 400 wakati yeye kadownload for free hapo Forexwinners
Hii strategy ni motoo... Yaan hata kama unadaiwa.. Unamwambia n wako nipe dk 5 tuu....! Basi unaenda mt4 unampakualia jamaa deni lake unasepaStrategy ni 5 20 5 ni bonge LA strategy motooooo
mzee wa affit,,,Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.
Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.
Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura na namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker.
JISAJILI SASA
Usisite kuomba msaada
TemplerFX | Promo
news iliyopita Aud ilienda down naamka naamka nakuta ipo kulee
hahahahahah uliamka mda gani.news iliyopita Aud ilienda down naamka naamka nakuta ipo kulee
saa kumi na mbili ila nilikua naswing ktk pair iyo iyo sell so kobe akaongezewa kasihahahahahah uliamka mda gani.
hahahaha time frame ipi mi jana nimeiotea pazuri sana AUD/USD SELLsaa kumi na mbili ila nilikua naswing ktk pair iyo iyo sell so kobe akaongezewa kasi
young boy Aud umemuotea mi wiki hii nilikua namvizia Eu na nikaflow nae
5 20 5 ndo strategy ganiStrategy ni 5 20 5 ni bonge LA strategy motooooo
Mr Suprize njoo ujibu huku.5 20 5 ndo strategy gani
Nafikiri ni moving averages hizo5 20 5 ndo strategy gani