Mkuu mi sio mentor ila napenda kufundisha tangu nasoma ,Nimetoa traders wengi sana wala sijawahi omba at mia yao,well unasema kuchukuwa pesa sokoni ni ngumu yes ni ngumu ndio haswa. Inahitaji usiwe na uhitaji nazo ndio unazichukuwa vyema ila ukiwa na pupa hata sent uchukuwi, alafu kupoteza kawaida mi nshapoteza miezi mfululizo no profit ila tatizo iikuwa sikolojia, alafu saiv trading sio kama zamani kuna funding acc nami ndo nina trade sana izo 100k funded na nipo up 10percent
It's only in trading endeavor where others declare to love their human beings. While in this capitalism world aka dog eats 🐕. Unaambiwa ama unahubiriwa upendo ukishaamini unaliwa kilaini mno.
Mchungaji anawahubiria upendo na maisha ya milele yenye Bata huku yeye akiwanyonya akiishi maisha ya raha hapa hapa duniani. The same to politicians kuwa nitawaletea maendeleo. Pia bila ya kusahau sangoma hata wazungu wanakupa misaada utatue tatizo ambalo wamelitengeneza wao wenyewe so ili uzidi kuwa mtumwa wao. Jiulize misaada yao hawataki ujenge kiwanda uzalishe ukawauzie bidhaa.
Wangekuwa wanatupa misaada tunachimba madini tunauza wenyewe baadaye tunawalipa.
Unampigisha demu sound kuwa unampenda kumbe una lako Jambo.
Hujawahi jiuliza why mtetea akiwa anaatamia ama akiwa na vifaranga hapewi chakula na jogoo jamani.
Ila akianza kuzaa mayai nakuambia jogoo atampetipeti Ile mbaya.
What I know nothing is free ie everything is Trading aka we interchange the values to gain more values from what I give you and I get from you.
Utasema jua linakupenda Kuna kitu linapata tokea kwako the same na wewe unapata kitu tokea kwa jua. Hata miti na wanyama Wana trade hewa aka Kuna exchanges of gases.
Yaani everything is calculated mkuu. Hata upendo unaotoa inabidi baadaye uupate ili ubalansi mzani.
Dunia uzito wake Ni ulel ule tokea kuumbwa halijawahi ongezewa uzito mwingine la sivyo uta disturb it's balansi.
Energy can't be neither created nor destroyed.yaani tunaishi dunia ya zero sum game whether you like or not. Wapo wajanja wanajua kuzichanga karata wanawatoa wengine wanajiongezea wao zaidi na zaidi.
Yaani unalima nanunua nauza sudani ama wakati wa njaa so napiga superprofit.
Ukidharauliwa lazima nawewe utatoa Ile dharau uliyopewa ama uliyotoa.
Ukitoka heshima na wewe utarudishiwa heshima ili uzibe lile pengo ulilotoa.
This is my firm believe in life.
Hata mie napoandika hapa nazidi kushindilia ama kuwa confident with my mind.
Hata wewe hapo unapofundisha you're gaining something sio useme kuwa umeshatoa traders wengi. Mbona hatujaona hata wanatokea Forbes,CNN, Bloomberg,etc wakakiri kuwa wametoka mikononi mwako