Forex traders naombeni msaada tafadhari

huwa nawachora sana wanaojiita maguru na kuwa na vimbele mbele vya kufundisha beginers, wameshindwa kupata hela sokoni kazi yao imekuwa utapeli tu...washenzi sana hao
Yes, wengi wanayo Trading Knowledge sio mbaya na Ni nzuri. Na ndio kiingilio Cha kuingia kwenye cfd industry Ila hawana what it takes to take money out the market. Wengi baada ya kusoma Sana yaani sana. Wanapita kila website,mtandao,groups zote za social media,PDF zote za Trading,na YouTube channels za Trading and investing.
Hapa anatumia si chini ya miaka 3-5 Kama yupo serious kila siku anafanya kitu ichi ichi kwa masaa yasiyopungua 10-14 kwa siku.
Sasa akishamaliza anajishangaa mbona bado hapigi hela.
So wengine wanaacha ama wanaanza safari mpya Tena itakayochukua si chini ya 3-5 yrs kutegemeana na uelewa wake.ila hii 3yrs inaanza kuanzia Ile phase ya kwanza ya knowledge quest.

Hapa wanaoianza Safari hii huwa Ni 10% ya wote walioanza safari.
Mana wanaoingia kwenye knowledge quest huwa Ni around 40% ya walioanza.
So hao 10% wanaoendelea kutafuta what it takes to take money out of the market wanafanikisha only 5% Basi.
Kwanza 60% huwa wanaachia pale wanapojua kuwa cfd Ni ngumu na inabidi usome mno.
Hawa 5% and 35 wanaachia njiani wanakuja kufundisha kuandika vitabu kuuza signals na ku manage account nadhani. Ila Ile 5% inakamua hela kimya kimya.
Hawa wapo kimya na hawashawishi mtu kuingia katika Trading Mana wanajua mziki wake ulivyo ,you can lose everything that you own.
Kama mie Kuna muda nilitaka kutia dola $20k nadhani ningejinyonga. Muda huo nilikuwa na a half Trading knowledge. Sema nikajiuliza mbona kwenye demo yenyewe sipo profitable ndio jibu likanifanya sikuwekaga iyo hela. Nadhani ningekuwa nimeitesa familia yangu mahala pa kulala na kupata chakula.
 
3-5 years kwa kusoma kila siku ndani ya masaa yasiyopungua 10-14?

Kusoma ndani masaa 10-14 kila siku kwa miaka 3-5 unakuwa unasoma nini, na unakuwa na kichwa chenye uwezo mdogo kiasi gani?

Labda uwe na kichwa Mb128, ili uingize kipya inakulazimu kufuta ulichosoma masaa kadhaa nyuma.

Hapo unatengeneza mazingira ya kuonyesha uhalali wa watu wengi kutokufanikiwa FOREX?
[emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

amini wapo watu wanatengeneza pesa kibao sana ila wapo kimya
 
Can you tell me how long does it take to Succeed Trading?
Give someone who's is suçcessfull Trading and profitable,then I'll show you someone who has climbed and fallen down at the journey of Success Trading quest.
So daktari , lawyers, Engineers Ni vilaza kusoma miaka zaidi ya minne na ku practice miaka zaidi ya mitatu mabapo ndipo wanapo acquire professional tittle of their deed
 
mkuu habari?
naomba nkwambie hiyo unayofanya sio trading n gambling Mzee n kamari kwa sababu n speculation of foreign exchange market unakisia tu with no agreement or regulatory measures from risks.
unaiita forex naamini hujui forex imeundwa na hedging, arbitration na speculation (forex yako hii).


Jarbu arbitration haina loss kabisa 100%.

Kama huwezi hizo hela kalime achana na gambling af mkiambiwa mnacheza mnamind [emoji23][emoji23]mnataka muambiwe mna trade daah hii sio trade ni kamari
 
Maisha yote yanaendeshwa Kwa mfumo wa kamali.
 
Mkimfuatilia vizuri huyo jamaa ni mjuaji na mpotoshaji tu, anafaa kupuuzwa
 
Ana asilimia ndogo ya % drowdown, halafu ana bei kubwa sana kwa products zake sishauri kama huna uzoefu kwenye fx.. kwa uzoefu wangu kwenye pro firm yenye uafadhali kidogo ni liquid markets.
 
Muwakilishi wa Tickmill niko hapa kwa maswali yoyote karibu sana nitakusaidia.
Pia kwasasa tunatoa mafunzo ya forex bila gharama zozote
Hakuna free lunch duniani kwa basics tu sikatai...forex ni bahari, thus why umekuwa chawa wa broker kupata unafuu
 
Trading is quite opposite to what our brain and mindset has evolved to accomplish.
It's against our human nature na ndio Mana wengi wanajifanya wanakupenda wanakufundisha. Hawezani mtu anapiga hela isiyopungua 5M kwa wiki ama hata 10M kwa mwezi eti aje ajifanye anakupenda anakufundisha. Sie Ni wanyama Hakuna Cha upendo Wala Nini sema icho Ni kichaka cha wewe kuliwa ukiamini kuwa unapendwa.
Hakuna binadamu ameshakosea
 
Kusema ukweli, ukipata system unayofanya kazi week after week sa unafundisha Ili iweje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…