Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Yes, wengi wanayo Trading Knowledge sio mbaya na Ni nzuri. Na ndio kiingilio Cha kuingia kwenye cfd industry Ila hawana what it takes to take money out the market. Wengi baada ya kusoma Sana yaani sana. Wanapita kila website,mtandao,groups zote za social media,PDF zote za Trading,na YouTube channels za Trading and investing.huwa nawachora sana wanaojiita maguru na kuwa na vimbele mbele vya kufundisha beginers, wameshindwa kupata hela sokoni kazi yao imekuwa utapeli tu...washenzi sana hao
Hapa anatumia si chini ya miaka 3-5 Kama yupo serious kila siku anafanya kitu ichi ichi kwa masaa yasiyopungua 10-14 kwa siku.
Sasa akishamaliza anajishangaa mbona bado hapigi hela.
So wengine wanaacha ama wanaanza safari mpya Tena itakayochukua si chini ya 3-5 yrs kutegemeana na uelewa wake.ila hii 3yrs inaanza kuanzia Ile phase ya kwanza ya knowledge quest.
Hapa wanaoianza Safari hii huwa Ni 10% ya wote walioanza safari.
Mana wanaoingia kwenye knowledge quest huwa Ni around 40% ya walioanza.
So hao 10% wanaoendelea kutafuta what it takes to take money out of the market wanafanikisha only 5% Basi.
Kwanza 60% huwa wanaachia pale wanapojua kuwa cfd Ni ngumu na inabidi usome mno.
Hawa 5% and 35 wanaachia njiani wanakuja kufundisha kuandika vitabu kuuza signals na ku manage account nadhani. Ila Ile 5% inakamua hela kimya kimya.
Hawa wapo kimya na hawashawishi mtu kuingia katika Trading Mana wanajua mziki wake ulivyo ,you can lose everything that you own.
Kama mie Kuna muda nilitaka kutia dola $20k nadhani ningejinyonga. Muda huo nilikuwa na a half Trading knowledge. Sema nikajiuliza mbona kwenye demo yenyewe sipo profitable ndio jibu likanifanya sikuwekaga iyo hela. Nadhani ningekuwa nimeitesa familia yangu mahala pa kulala na kupata chakula.