Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 843
- 1,630
Soma kwenye kamusi au tumia Wikipedia watakwambiaSijui niambie maana yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma kwenye kamusi au tumia Wikipedia watakwambiaSijui niambie maana yake.
Je we ni profitable trader?Soma kwenye kamusi au tumia Wikipedia watakwambia
Soma kwenye kamusi au tumia Wikipedia watakwambia, au Kwa kifupi Mimi najua mchezo ni shughuli inayohusisha kutumia nguvu au akili Kwa lengo na kujiburudusha au kama sehem ya mazoezi ya mwili, FOREX sio mchezo ni biashara Kwa sababu biashara ni mchakato unaohusisha kununua na Kuuza bidhaa, huduma au kitu chochote. So far you have got my point, Forex is not a game it is a trade simply because it is all about selling and buying currencies aimed at earning income!
Hili swali Lina maana gani, Ikiwa ni profitable trader au sio profitable trader haitondoa tafsiri ya Forex kuwa biashara, maana kama Mimi ni profitable trader it means I make profits, and if am not a profitable trader it means I made losses, so it still a business coz typically in any business loss always appears.Je we ni profitable trader?
mzee uliwaza mbalHii fx inanichanganya sana mm Kuna jamaa yangu broker wake ni MTFE na ishu ya signal anatumia robot ndo linatrade,ananishawishi niingie huko lkn moyo wangu umekuwa ngumu sana nawaza robot ndo linitengenezee pesa?je kitu hiki ni possible?nahofia inaweza kuwa kudiposit ni simple ila kuwithdraw ikawa nongwa
Lipi ama Jambo gani unalofanya una uhakika 100% KUWA utafaulumkuu habari?
naomba nkwambie hiyo unayofanya sio trading n gambling Mzee n kamari kwa sababu n speculation of foreign exchange market unakisia tu with no agreement or regulatory measures from risks.
unaiita forex naamini hujui forex imeundwa na hedging, arbitration na speculation (forex yako hii).
Jarbu arbitration haina loss kabisa 100%.
Kama huwezi hizo hela kalime achana na gambling af mkiambiwa mnacheza mnamind [emoji23][emoji23]mnataka muambiwe mna trade daah hii sio trade ni kamari
Inaonekana bado sana kwny indusry kijana.Ukigrind vzr ukaelewa unachofanya haya maswali hupotea yenyewMambo vipi wakuu mko poa?!! natumaini mko salama. Kwa wale wazee wa forex naombeni msaada ni broker yupi ambae unaweza uka-deposit na ku-withdraw pesa kupitia mitandao ya simu ya Tanzania.
Pia ni idadi ngapi ya PIPs ambayo mtu inabidi aivune kwa wiki ili mwisho wa mwisho capital yake iwe katika hali nzuri kdg...