Forex traders!

kuunguza account yangu muda huu
Je ni sababu ipi imepelekea kuunguza account?
Je ulizingatia RR?
- DayTradersTZ jiunge hapo.
Pia mtaji mkubwa unasaidia kutokuunguza account?
Sio kweli kuwa mtaji mkubwa utasaidia kuto unguza account.

Ili usiunguze account.
- Jifunze kulinda mtaji zaidi - Hapo utawinda entry sahihi kwa wakati sahihi.
- Skills first - ili kuweza kuona best entry & exit kwa wakati, Ambapo hata ukiwa na mtaji mdogo una uwezo wa kuukuza na kuwa mkubwa. Ila kama hauna skills within a week waweza choma ccount hata kama ina $10,000
 
kama kweli inalipa watu.......
Sio FX pekee, hata baishara zingine ukiwa na maarifa sahihi inalipa
- Kuna ambao wamelima matikiti na kupata faida, Ila pia kuna wengine wamepata hasara.
- Kuna ambao ni wakulima wa korosho, hupata faida na hasara
- Kuna wafanya biashara wa mafuta hupata faida na hasara

Hata kwenye forex kuna Faida na Hasara.
- Tena Hasara ya forex ni kubwa kuliko biashara nyingine yeyote unayoifahamu.
Na
- Wakati huo huo hakuna biashara yenye faida kubwa kama Forex

Kupata hasara au faida inatokana na uwekezaji wako kwenye skrills kwa biashara uliyo amua kufanya.

Hivyo si busara kuwabeza wale walio jaribu kufanya forex na kushindwa kabisa.
 
Upo sahihi kwa vyote ulivoongea, je ni wangapi waliopata faida kubwa kwenye forex tangu ianze kutangazwa?
 
Upo sahihi kwa vyote ulivoongea, je ni wangapi waliopata faida kubwa kwenye forex tangu ianze kutangazwa?
Unajua hapa utapigwa porojo za hapa na pale. Kiufupi hizi mambo ambazo zina vinasaba vya kamali vina hasara kibwa lakini pia unaweza ukapiga hela nyingi.

Uliyemkoti ametoa mfano wa tikiti, tikiti kuna tikiti lenyewe kama bidhaa na shamba kama kama bidhaa hivyo mtu hata akipata hasara hawezi akapata hasara mpaka shamba lako likapotea.

Sasa kwenye forex na kamali zingine kama betting ukiliwa unaweza ukapoteza hela yote wenyewe wanaita kuunguza.

Mfano huyu mleta mada kama aliweka $200 yote inakuwa imeenda sasa fikiria kama angewekeza kwenye shamba la tikiti je hiyo hasara ingesababisha kupotea mpaka kwa shamba?!

NB. Naiita forex kamali kwa sababu zifuatazo.

1. Hakuna bidhaaa wala huduma yoyote inayozalishwa.
2. Msingi wa forex ulikuwa na kwa ajili ya kufacilitate international trade.
3. Ili upate faida kwenye forex, mtu mwingine pia anatakiwa apoteze hela, na ukiona umepata hasara basi mtu mwingine amepata faida. Hizi ni sifa za kamali.
 
Upo sahihi kwa vyote ulivoongea, je ni wangapi waliopata faida kubwa kwenye forex tangu ianze kutangazwa?
Kama lengo lako ni kujua wangapi au nani amepata faida au hasara katika forex hutampata! ENDELEA TU MAMBO YAKO!
 
jamani wewe kama mtaalamu wa forex tuthibitishie kuwa kweli forex inalipa kwa kushare hapa jukwaani FX account no. yako na investor password na washawishi matrader wenzako wafanye hivyo nadhan hii itasaidia kutupunguza sisi matomaso wa FX
 
kiukweli watetezi wa hii kitu njia nyepesi ya kuwafanya wasiotaka kuamini kuwa FX is real ni nyie kushare FX acc no. zenu pamoja na investor password tofauti na hapo tutaendelea kuwa na mtazamo hasi kuhusu hii kitu mpaka ujiiiio wa pili wa nabii issa
 
Risk Management na Knowledge investment ndio mchawi.. Strategy ziko kibao but Discipline kwenye market ndio Mafanikio yenyewe...

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii kitu haina adabu hata kidogo... unafanya analysis yako vizur kabisa, unaingia sokon..mara mpuuz fulan huko Canada anaropoka... withing seconds unapigwa bumbuwaz la maana kwa unacho kiona, na wakati unaangalia news calender, haikua na impact kubwa.. yaan ghafla tu pips 80 against...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kiukweli watetezi wa hii kitu njia nyepesi ya kuwafanya wasiotaka kuamini kuwa FX is real ni nyie kushare FX acc no. zenu pamoja na investor password tofauti na hapo tutaendelea kuwa na mtazamo hasi kuhusu hii kitu mpaka ujiiiio wa pili wa nabii issa
Mimi sio mmoja wao ila washee kwa faida ya nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…