Sio FX pekee, hata baishara zingine ukiwa na maarifa sahihi inalipa
- Kuna ambao wamelima matikiti na kupata faida, Ila pia kuna wengine wamepata hasara.
- Kuna ambao ni wakulima wa korosho, hupata faida na hasara
- Kuna wafanya biashara wa mafuta hupata faida na hasara
Hata kwenye forex kuna Faida na Hasara.
- Tena Hasara ya forex ni kubwa kuliko biashara nyingine yeyote unayoifahamu.
Na
- Wakati huo huo hakuna biashara yenye faida kubwa kama Forex
Kupata hasara au faida inatokana na uwekezaji wako kwenye skrills kwa biashara uliyo amua kufanya.
Hivyo si busara kuwabeza wale walio jaribu kufanya forex na kushindwa kabisa.