Forex traders!

jamani wewe kama mtaalamu wa forex tuthibitishie kuwa kweli forex inalipa kwa kushare hapa jukwaani FX account no.
#1. Ingia kwenye channel yangu uone kazi inayofanyika:
- Analysis
- Entry & Exit
Ni ushahidi tosha kuwa najua nini ninachokifanya: Channel link hii hapa FREE: DayTradersTZ


- Na kama wewe pia ni trader basi fungua USDCAD na angalia H4, H1 kisha tumia hiyo signal kuingia sokoni

#2. Kwenye hii screen shot ya pili ndio hiyo position niliyofungua muda mfupi uliopita

- Hapo angalia muda nilio fungua
AUDUSD
GBPUSD
USDCAD
 
inshort ni kamali kama SPORTPESA tuuu ili ww ule kwa kumbetia man united ushindi basi ni lazima awepo aliyeliwa kwa kumbetia man united kushindwa


NI KAMALI KAMA KAMALI NYINGINE TU... sema huku wajanja waliopata hela mwanzo sasa hivi hwatrade hela zao za mfukoni wanaanzisha groups za kulipia na mafunzo then hela anayolipwa huko ndio anatrade

Sent using Jamii Forums mobile app
 
washawishi matrader wenzako wafanye hivyo nadhan hii itasaidia kutupunguza sisi matomaso wa FX
Angalia salio kidogo kidogo linaongezeka.
- Nitaweka pia screenshot ya mwisho kuonyesha nimefungua hizi position kwa dola ngapi?
- Je hadi hapa bado wewe ni TOMASO?????? Kama jibu ni ndio nijulishe nikurekodie video ya hizi trade


CHARTI YAKE HII HAPA - USDCAD
 
Nilipatia trend vizuri na niliingia sehem sahihi, sijui ilitokea news gani nikajikuta pea zimegeuka kwa kasi ya ajabu adi zikaunguza account
- Lotsize sahihi kulingana na account size yako
- Idadi ya position sahih &
- SL sehemu sahihi
Hakika huwezi unguza account.

Huko nyuma nami nimeunguza account kadhaa, na nilichukulia kama sehemu ya kujifunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…