Sijafungua group la discussionMkuu ukiacha hiyo channel huna group la discussion? Telegram group namaanisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh sawaSijafungua group la discussion
Hili litafanyika mapema mwezi Machi na itakuwa maalum kwa Premium members ambapo pia tutakuwa na LIVE trading session kila siku kuanzia saa 2asubuhi hadi saa 7mchana.
Kma wewe unasubiri kubustiwa na account forex za wengine utasubiri sana. Kama mambo yamekushinda unasepa tu. Tembelea jukwaa la kilimo, ufugaji na uvuvi kule utapata madini mazuri tu yakukufanya utoke kama upo serious na unajua unachofanya. Ila kama unataka mtelemko maishani ni bora uende KITONGA ndio utapata slope nzurikiukweli watetezi wa hii kitu njia nyepesi ya kuwafanya wasiotaka kuamini kuwa FX is real ni nyie kushare FX acc no. zenu pamoja na investor password tofauti na hapo tutaendelea kuwa na mtazamo hasi kuhusu hii kitu mpaka ujiiiio wa pili wa nabii issa
mbona mnakuwa waoga sana kushare acc zenu humu jukwaani kama kweli mnaishi kwa kutradeN
Kma wewe unasubiri kubustiwa na account forex za wengine utasubiri sana. Kama mambo yamekushinda unasepa tu. Tembelea jukwaa la kilimo, ufugaji na uvuvi kule utapata madini mazuri tu yakukufanya utoke kama upo serious na unajua unachofanya. Ila kama unataka mtelemko maishani ni bora uende KITONGA ndio utapata slope nzuri
ILI IWEJE KWANZA NA KWA FAIDA YA NANI? UKIWEKEWA HIZO ACCOUNT NDIO UTAJUA KUTRADE FOREX AU NDIYO UTAPATA HIZO HELA? ACHENI UVIVU BWANA MWISHOWE MTAWAOMBA ACCOUNT AKINA BAKHRESSA, MO NA MENGI ILI M-PROVE KWAMBA KWELI NI MATAJIRI. SISI MIAFRIKA BWANA KAZI UMBEA TU NA WIVU NA UCHAWImbona mnakuwa waoga sana kushare acc zenu humu jukwaani kama kweli mnaishi kwa kutrade
labda niwaondoe wasiwasi ukimpatia mtu investor password hawezi kuitumia kufanya chochote chenye madhara kwenye acc yako kwani hii huwa ni read only password
mbona mnakuwa waoga sana kushare acc zenu humu jukwaani kama kweli mnaishi kwa kutrade
labda niwaondoe wasiwasi ukimpatia mtu investor password hawezi kuitumia kufanya chochote chenye madhara kwenye acc yako kwani hii huwa ni read only password
Ee,muheshimiwa unatrade against trendunaona mimi sijui nifundishe uwe mantor wangu..View attachment 1003717
Sent using Jamii Forums mobile app
Ee,muheshimiwa unatrade against trendunaona mimi sijui nifundishe uwe mantor wangu..View attachment 1003717
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni down trend.
BRIGHT FOREX TANZANIA INSTITUTE join freeNimetoka kuunguza account yangu muda huu njooni tupeane moyo na ushuhuda wa mlikotoka wafanyabiashara wenzangu mliofanikiwa! Pia mtaji mkubwa unasaidia kutokuunguza account?
Sent using Jamii Forums mobile app
E
Kaenda kinyume na trend,hiyo Eurocad anadhani itarudi upande wake.