Forex traders!

Forex traders!

Mkuu ukiacha hiyo channel huna group la discussion? Telegram group namaanisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijafungua group la discussion
Hili litafanyika mapema mwezi Machi na itakuwa maalum kwa Premium members ambapo pia tutakuwa na LIVE trading session kila siku (Trading Lounge) kuanzia saa 2asubuhi hadi saa 7mchana.
 
N
kiukweli watetezi wa hii kitu njia nyepesi ya kuwafanya wasiotaka kuamini kuwa FX is real ni nyie kushare FX acc no. zenu pamoja na investor password tofauti na hapo tutaendelea kuwa na mtazamo hasi kuhusu hii kitu mpaka ujiiiio wa pili wa nabii issa
Kma wewe unasubiri kubustiwa na account forex za wengine utasubiri sana. Kama mambo yamekushinda unasepa tu. Tembelea jukwaa la kilimo, ufugaji na uvuvi kule utapata madini mazuri tu yakukufanya utoke kama upo serious na unajua unachofanya. Ila kama unataka mtelemko maishani ni bora uende KITONGA ndio utapata slope nzuri
 
mbona mnakuwa waoga sana kushare acc zenu humu jukwaani kama kweli mnaishi kwa kutrade
labda niwaondoe wasiwasi ukimpatia mtu investor password hawezi kuitumia kufanya chochote chenye madhara kwenye acc yako kwani hii huwa ni read only password
 
ILI IWEJE KWANZA NA KWA FAIDA YA NANI? UKIWEKEWA HIZO ACCOUNT NDIO UTAJUA KUTRADE FOREX AU NDIYO UTAPATA HIZO HELA? ACHENI UVIVU BWANA MWISHOWE MTAWAOMBA ACCOUNT AKINA BAKHRESSA, MO NA MENGI ILI M-PROVE KWAMBA KWELI NI MATAJIRI. SISI MIAFRIKA BWANA KAZI UMBEA TU NA WIVU NA UCHAWI
 
mbona mnakuwa waoga sana kushare acc zenu humu jukwaani kama kweli mnaishi kwa kutrade
labda niwaondoe wasiwasi ukimpatia mtu investor password hawezi kuitumia kufanya chochote chenye madhara kwenye acc yako kwani hii huwa ni read only password
1548342007347.png
 
Wote wanaotaka testimony za kuwekewa hela ndio waingie kwenye hii bussiness ,hii ni sehemu ya faida nimekuwa nikipata tangu mwezi December.

Ila yoyote anaeingia kwenye soko hili kwa interest ya hela kuliko knowledge lazima apigwe. Mimi huwa namuheshimu mtu anaetaka maarifa kuliko kuulizia mipicha ya hela. Haya picha za visenti hizo hapo chukua mt4 uanze kushusha tuhela na wewe.

IMG_20190124_202149.jpg
IMG_20190124_202159.jpg
IMG_20190124_202212.jpg
IMG_20190124_202222.jpg
IMG_20190124_202233.jpg
IMG_20190124_202256.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom