Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Mkuu kwa huo mtaji kwa hizo lot size na huo utitili wa positions si salama kwa maisha ya Account.unaona mimi sijui nifundishe uwe mantor wangu..View attachment 1003717
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu apo eurcad mchana ilikuwa upande wangu ..but sikuwa online na ndo nimeingia now nimekuta loss kama ivyo. Naona kama ipo kwenye zone itarudi juu so na wait nione itakuaje..Mkuu kwa huo mtaji kwa hizo lot size na huo utitili wa positions si salama kwa maisha ya Account.
Risk management ni muhimu kuliko kitu chochote kwenye hii biashara yetu adhimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa apo itarudi muda sio mrefu naona..E
Kaenda kinyume na trend,hiyo Eurocad anadhani itarudi upande wake.
HahaaaToka forex ianze kupigiwa upatu hapa jukwaani kama kweli inalipa watu wangekuwa washanunua ma jeep
Basi kama ndio hivi " ni wazi kwamba hiyo fx sio rafiki kabisa kwa maisha ya watafutaji .. kwa sababu ina take risk kubwa mnoo kuna asailimia kubwa mnoo za mtu ku-back fire kuliko katika biashara yoyote ...Unajua hapa utapigwa porojo za hapa na pale. Kiufupi hizi mambo ambazo zina vinasaba vya kamali vina hasara kibwa lakini pia unaweza ukapiga hela nyingi.
Uliyemkoti ametoa mfano wa tikiti, tikiti kuna tikiti lenyewe kama bidhaa na shamba kama kama bidhaa hivyo mtu hata akipata hasara hawezi akapata hasara mpaka shamba lako likapotea.
Sasa kwenye forex na kamali zingine kama betting ukiliwa unaweza ukapoteza hela yote wenyewe wanaita kuunguza.
Mfano huyu mleta mada kama aliweka $200 yote inakuwa imeenda sasa fikiria kama angewekeza kwenye shamba la tikiti je hiyo hasara ingesababisha kupotea mpaka kwa shamba?!
NB. Naiita forex kamali kwa sababu zifuatazo.
1. Hakuna bidhaaa wala huduma yoyote inayozalishwa.
2. Msingi wa forex ulikuwa na kwa ajili ya kufacilitate international trade.
3. Ili upate faida kwenye forex, mtu mwingine pia anatakiwa apoteze hela, na ukiona umepata hasara basi mtu mwingine amepata faida. Hizi ni sifa za kamali.
Uko sawa kabisaa mjukuu, ndio maana kuna kitu kinaitwa risk management, ni somo la muhimu pengine kuliko yoteBasi kama ndio hivi " ni wazi kwamba hiyo fx sio rafiki kabisa kwa maisha ya watafutaji .. kwa sababu ina take risk kubwa mnoo kuna asailimia kubwa mnoo za mtu ku-back fire kuliko katika biashara yoyote ...
Daahh hii inaweza kukufanya ufe kwa pressure
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah nyanya yangu hiyo fx mimi na waachia nyie wajuzi .. napenda sana pesa lakini kwa hizo pesa za fx nimenyoosha mikonoUko sawa kabisaa mjukuu, ndio maana kuna kitu kinaitwa risk management, ni somo la muhimu pengine kuliko yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umebuy EURCAD alafu uka sell at the sametime... This is not good practice...unaona mimi sijui nifundishe uwe mantor wangu..View attachment 1003717
Sent using Jamii Forums mobile app
Risk reward ratio yako ilikua ngapi? How many pips did plan to lose?Mkuu apo eurcad mchana ilikuwa upande wangu ..but sikuwa online na ndo nimeingia now nimekuta loss kama ivyo. Naona kama ipo kwenye zone itarudi juu so na wait nione itakuaje..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo kitu kilichonimaliza jana aiseenahisi ni eurusd maana ili miss behave ila kunakitu stop hunt walikifanya kwa wataalam kama sisi tulikiona mapemaaaa ofcoz eur usd ina range kwa muda tu but ikichora uptrande down inatouch mara kadhaa kuashiria strong uptrande ilaaa ile touch ya mwisho wengi walibuy even profesional ninaowajua mimi
ila ilikua ni stop hunt ile rejection ya daily haikutouch ile uptrande line HAIKUGUSA so means ni invalid trade kudhani ni buy seler lengo lao ni kugusa uptrande na kuitoboa ndo lengo kama hijafikiwa na ukaona reject za buyer achana nazo mpk price iguse trend na usubiri DOUBLE CONFIRMATION like double touch, tripplr touch and other reversal parten
Sent using Jamii Forums mobile app
KwaniniDaah nyanya yangu hiyo fx mimi na waachia nyie wajuzi .. napenda sana pesa lakini kwa hizo pesa za fx nimenyoosha mikono
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea na shughuli unayoifanya sasa hivi achana na forex.Kwaajili ya kuthibisha kuwa forex inalipa
ok sawa bwana
Uko sahihi kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii kitu haina adabu hata kidogo... unafanya analysis yako vizur kabisa, unaingia sokon..mara mpuuz fulan huko Canada anaropoka... withing seconds unapigwa bumbuwaz la maana kwa unacho kiona, na wakati unaangalia news calender, haikua na impact kubwa.. yaan ghafla tu pips 80 against...
Sent using Jamii Forums mobile app