Forex traders!

Forex traders!

Hata hasara zipo. Msije sema huwa hatupigwi. Soko lolote duniani Lina Profit na Loss. Ila cha muhimu ni Profit izidi Loss by Anyhow.

IMG_20190124_202346.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa huo mtaji kwa hizo lot size na huo utitili wa positions si salama kwa maisha ya Account.

Risk management ni muhimu kuliko kitu chochote kwenye hii biashara yetu adhimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu apo eurcad mchana ilikuwa upande wangu ..but sikuwa online na ndo nimeingia now nimekuta loss kama ivyo. Naona kama ipo kwenye zone itarudi juu so na wait nione itakuaje..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua hapa utapigwa porojo za hapa na pale. Kiufupi hizi mambo ambazo zina vinasaba vya kamali vina hasara kibwa lakini pia unaweza ukapiga hela nyingi.

Uliyemkoti ametoa mfano wa tikiti, tikiti kuna tikiti lenyewe kama bidhaa na shamba kama kama bidhaa hivyo mtu hata akipata hasara hawezi akapata hasara mpaka shamba lako likapotea.

Sasa kwenye forex na kamali zingine kama betting ukiliwa unaweza ukapoteza hela yote wenyewe wanaita kuunguza.

Mfano huyu mleta mada kama aliweka $200 yote inakuwa imeenda sasa fikiria kama angewekeza kwenye shamba la tikiti je hiyo hasara ingesababisha kupotea mpaka kwa shamba?!

NB. Naiita forex kamali kwa sababu zifuatazo.

1. Hakuna bidhaaa wala huduma yoyote inayozalishwa.
2. Msingi wa forex ulikuwa na kwa ajili ya kufacilitate international trade.
3. Ili upate faida kwenye forex, mtu mwingine pia anatakiwa apoteze hela, na ukiona umepata hasara basi mtu mwingine amepata faida. Hizi ni sifa za kamali.
Basi kama ndio hivi " ni wazi kwamba hiyo fx sio rafiki kabisa kwa maisha ya watafutaji .. kwa sababu ina take risk kubwa mnoo kuna asailimia kubwa mnoo za mtu ku-back fire kuliko katika biashara yoyote ...

Daahh hii inaweza kukufanya ufe kwa pressure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi kama ndio hivi " ni wazi kwamba hiyo fx sio rafiki kabisa kwa maisha ya watafutaji .. kwa sababu ina take risk kubwa mnoo kuna asailimia kubwa mnoo za mtu ku-back fire kuliko katika biashara yoyote ...

Daahh hii inaweza kukufanya ufe kwa pressure

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sawa kabisaa mjukuu, ndio maana kuna kitu kinaitwa risk management, ni somo la muhimu pengine kuliko yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nahisi ni eurusd maana ili miss behave ila kunakitu stop hunt walikifanya kwa wataalam kama sisi tulikiona mapemaaaa ofcoz eur usd ina range kwa muda tu but ikichora uptrande down inatouch mara kadhaa kuashiria strong uptrande ilaaa ile touch ya mwisho wengi walibuy even profesional ninaowajua mimi
ila ilikua ni stop hunt ile rejection ya daily haikutouch ile uptrande line HAIKUGUSA so means ni invalid trade kudhani ni buy seler lengo lao ni kugusa uptrande na kuitoboa ndo lengo kama hijafikiwa na ukaona reject za buyer achana nazo mpk price iguse trend na usubiri DOUBLE CONFIRMATION like double touch, tripplr touch and other reversal parten

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata uwe na 100k usd inaweza pepea kama upepo kikubwa plan your setup, plan your entry kulingana na setup yako pamoja na exit, plan your risky and reward Pleeez stick on it , dont fight tje market, usiwe na hope na loss cut it as soon it out of your konki plan ,always keep doing mistake and learn but dont repeat the same mistake
If you don't wany to learn in simple way loss will teach you in hard way

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nahisi ni eurusd maana ili miss behave ila kunakitu stop hunt walikifanya kwa wataalam kama sisi tulikiona mapemaaaa ofcoz eur usd ina range kwa muda tu but ikichora uptrande down inatouch mara kadhaa kuashiria strong uptrande ilaaa ile touch ya mwisho wengi walibuy even profesional ninaowajua mimi
ila ilikua ni stop hunt ile rejection ya daily haikutouch ile uptrande line HAIKUGUSA so means ni invalid trade kudhani ni buy seler lengo lao ni kugusa uptrande na kuitoboa ndo lengo kama hijafikiwa na ukaona reject za buyer achana nazo mpk price iguse trend na usubiri DOUBLE CONFIRMATION like double touch, tripplr touch and other reversal parten

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo kitu kilichonimaliza jana aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii kitu haina adabu hata kidogo... unafanya analysis yako vizur kabisa, unaingia sokon..mara mpuuz fulan huko Canada anaropoka... withing seconds unapigwa bumbuwaz la maana kwa unacho kiona, na wakati unaangalia news calender, haikua na impact kubwa.. yaan ghafla tu pips 80 against...

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi kabisa
 
Dawa ya FX ni mtaji wa kutosha na discipline ya trading kwa lot sizes ndogo.inalipa kuliko biashara nyingine yoyote
Shida watu ni kweka lot size kubwa na mambo yakienda opposites wanalia lia
Kamwe huwezi kuzia kupanda ama kushuka kwa sarafu
 
Back
Top Bottom