Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
Bila kujari ukubwa au udogo wa mtajiDawa ya FX ni mtaji wa kutosha
Dawa ya forex ni.
- Entry sahihi kwa wakati sahihi - Hapa ndipo watu hupata faida au hasara .
- Mengine yote yanafuata; viz LOT SIZE, kiasi cha mtaji etl
Hakika inalipa kuliko biashara nyingine yeyote ile, Forex ni biashara pekee ambayo waweza double mtaji ndani ya dakika 5inalipa kuliko biashara nyingine yoyote
Pia FX ndio biashara pekee ambayo yaweza pukutisha mtaji wa $1000K to ZERO ( $00.00 ) within 5minute.
Nadhani wengi wanakumbuka kilichotokea January - Kuna ambao waliamka matajiri na kuna ambao waliamka na vilio.