Naweza pata link yao ili niweze kufanya registrationBank nzur ya kutumia na ambayo haijawah nifelisha siku zote ni Barclays Bank
Mkuu bank nzur kutumia ni NBC au ABC VISA CARD ila NBC Ndio nzur zaid kwasababu haina makato ya kila mwezi na ikikat inakata kistaarabu ila backrays majanga thrust meNaweza pata link yao ili niweze kufanya registration
Vipi kuhusu bei ya kuuza na kununua ilikuwa jeFaida niliyopata kwa siku mbili, Tarehe 18 april,nilipata laki 5 nikanunua rand kwa bei ya tsh 160 nikapata Rand 3125 baada ya siku mbili bei ya Rand ikapanda tarehe 20 april ikauzwa tsh 168,ina maana nikapata faida ya elf 25 kwa siku mbili ,hii biashara naona nzuri zaidi ukiwa Na mtaji mkubwa... Na risk inayokuwepo inaweza isiwe kubwa sana ukizingatia nchi yetu ukuwaji wake wa uchumi ni tatizo endelevu.
Ni kama ulivoiona hapo juu.Vipi kuhusu bei ya kuuza na kununua ilikuwa je
Kuna hii nyingine imeingia hv karibun inaitwa OneCoin,mweny uelewa atusaidie jaman.Hii inashawishi at least kuna biashara inafanyika. Kuna hivi viti sijavielewa kabisa alieelewa anisaidie; 1. Bitcoin, adscash, D9. Nimejaribu kuchunguza biashara gani inafanyika ili kukupa faida lukuki za kila siku lakini sijaona. Mwenye kufahamu tafadhali.
nimemaanisha bei ya kununua na kuuza siku ambayo wewe ulinunua na bei ya kununua na kuuza siku ambayo wewe uliuza,,Vipi kuhusu bei ya kuuza na kununua ilikuwa je
Wanatia hamasa sana mkuu.Mimi sijajua kama ni programmer ngoja tusubiri wataalamu waje kutupatia darasa.
Wewe umesha anza?Mnatakiwa kufaham kuwa kutafuta pesa hakupo kiulais ivyo kama wengi wenu mnavyodhan katika hii biashara inaitaji uangalifu ujuaji wa soko zaidi kama ilivyo kwa biashara nyingine na hii ni raisi kupata na simple zaid kupoteza
Note: jifunze kiundani zaidi kabla haujaanza trade