Forex trading short course

Forex trading short course

Naweza pata link yao ili niweze kufanya registration
Mkuu bank nzur kutumia ni NBC au ABC VISA CARD ila NBC Ndio nzur zaid kwasababu haina makato ya kila mwezi na ikikat inakata kistaarabu ila backrays majanga thrust me

[HASHTAG]#Young[/HASHTAG] boy
 
Hii inashawishi at least kuna biashara inafanyika. Kuna hivi viti sijavielewa kabisa alieelewa anisaidie; 1. Bitcoin, adscash, D9. Nimejaribu kuchunguza biashara gani inafanyika ili kukupa faida lukuki za kila siku lakini sijaona. Mwenye kufahamu tafadhali.
 
Faida niliyopata kwa siku mbili, Tarehe 18 april,nilipata laki 5 nikanunua rand kwa bei ya tsh 160 nikapata Rand 3125 baada ya siku mbili bei ya Rand ikapanda tarehe 20 april ikauzwa tsh 168,ina maana nikapata faida ya elf 25 kwa siku mbili ,hii biashara naona nzuri zaidi ukiwa Na mtaji mkubwa... Na risk inayokuwepo inaweza isiwe kubwa sana ukizingatia nchi yetu ukuwaji wake wa uchumi ni tatizo endelevu.
Vipi kuhusu bei ya kuuza na kununua ilikuwa je
 
Hii inashawishi at least kuna biashara inafanyika. Kuna hivi viti sijavielewa kabisa alieelewa anisaidie; 1. Bitcoin, adscash, D9. Nimejaribu kuchunguza biashara gani inafanyika ili kukupa faida lukuki za kila siku lakini sijaona. Mwenye kufahamu tafadhali.
Kuna hii nyingine imeingia hv karibun inaitwa OneCoin,mweny uelewa atusaidie jaman.
 
Naomba mrudie tangazo hilo kwa mwaka 2017 ,naamini wengi tutajitokeza ,kwa sababu Siku hizi FX ndiyo habari ya mjini,lakini practically wanaoijui hawafahamiki na baadhi hawako tayari kugawa ELIMU
 
Hakuna group lolote la whatsapp za hii kitu ili tujiunge
 
Wanatia hamasa sana mkuu.Mimi sijajua kama ni programmer ngoja tusubiri wataalamu waje kutupatia darasa.
Mnatakiwa kufaham kuwa kutafuta pesa hakupo kiulais ivyo kama wengi wenu mnavyodhan katika hii biashara inaitaji uangalifu ujuaji wa soko zaidi kama ilivyo kwa biashara nyingine na hii ni raisi kupata na simple zaid kupoteza

Note: jifunze kiundani zaidi kabla haujaanza trade
Wewe umesha anza?
 
Back
Top Bottom