jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,012
Mkuu Temakule unawezaje kutrade bila ya kua umeoma deep?Forex telegram group signal tz only
Simbafx silver
Telegram group haifunguki mkuu?Kwa wataopenda kufahamu na kutrade easy mnaweza nifata telegram Brownfx
Nitajibu swali na uzoefu wangu ntautoa pia. Na signal kwa wataohitaji pia ntaprovide at a time inaprofit
Naomba nikutumie email yngu bosi ikiwezekana unitumie hvyo vitabu nivisome vizurNikweli maana mimi nimetumiwa vitabu bado ninasota navyo ni vikubwa na havihitaji mtu uwe mvivu wa kusoma kwa kweli japo mkuu ukiniunga na hizo link nzuri za youtube zitanisaidia sanaa napata shida kuielewa concept ukizingatia sina uzoefu wowote wa hii biashara
Bosi naomba hyo link tena maana uliyo iweka inagoma au kama utanipa namba nikutumie text uniunge mwenyewe itakuwa vzur zaidiKuna training ambayo itafanyika tar 28 mwezi huu
Kama upo tayari nicheki kupitia hii link
Follow this link to join my WhatsApp group: Fx Training Dar 28/07/17
Hivi vitu vinahitaj mtu wakukusaidia ukiwa unaaza sasa wazoefu mtusaidie na sisi kwa kutudirect mbaka tuweze kusimama wenyewMimi nemetrade forex kwa kama miezi Sita na nlikua nafanya part time. Nilikua napata pesa ya kulipia ki apartment changu.. didn't fully go into it. Lakini I took time to learn about it. Kua tend hiyo course for 2 to 3 hours haitatosha ila Kuna vitabu online na videos on YouTube on how to trade.. ila nashauri mtu asiwe mvivu wa kusoma. Na Sio rahisi kupata pesa kama inavyo sound. Ni rahisi sana ku unguza account yako.. chukua Muda kujielimisha
Sent from my SM-G925T using JamiiForums mobile app
Naomba nikutumie email yngu bosi ikiwezekana unitumie hvyo vitabu nivisome vizur
Samahani wakuu, nimetokea kuvutiwa na hii kitu na bado naendelea kufanya utafiti kabla kuingia. Ila kuna jambo moja bado najiuliza kwa maana ishu nyingi za hivyo huwa katika mtindo huu.Mimi nemetrade forex kwa kama miezi Sita na nlikua nafanya part time. Nilikua napata pesa ya kulipia ki apartment changu.. didn't fully go into it. Lakini I took time to learn about it. Kua tend hiyo course for 2 to 3 hours haitatosha ila Kuna vitabu online na videos on YouTube on how to trade.. ila nashauri mtu asiwe mvivu wa kusoma. Na Sio rahisi kupata pesa kama inavyo sound. Ni rahisi sana ku unguza account yako.. chukua Muda kujielimisha
Sent from my SM-G925T using JamiiForums mobile app
Ni ipi hiyo mkuu?
nilifikiri training ni ya mwak huu....kumbe ilishapita,nilikuwa sijaona kabla,nimeona baada ya kupost
Sent using Jamii Forums mobile app
Inafunguka ikiwa una telegram
Napenda niwaaMbie hats hao walioibobea forex wanaingiaga hasara sana pamoja na kuwa wataalamu analysis lakin wakalost, forex ni biashara ya chap chap ukipata faida closed, nimeona nimepata short nikajifunza now naingia kwa dakika kaza na kuclose with profit
Tupe siri ya hii system yako mkuu?Napenda niwaaMbie hats hao walioibobea forex wanaingiaga hasara sana pamoja na kuwa wataalamu analysis lakin wakalost, forex ni biashara ya chap chap ukipata faida closed, nimeona nimepata short nikajifunza now naingia kwa dakika kaza na kuclose with profit
tumia bacrays mkuuHii platform ya MT4 ni tamu sana lakini kwenye bank zetu hapa bongo kufanya online transaction sijui kama ziko poa sana.
Mim nachofanya maze in account mbili kwa broker mmoja kwakua broker anaruhusu internal transfer natrade nkipata faida na nafanya transfer ya faida, natrade tena alafu nkipata profit nahimisha, kwenye forex pia kuna kupanda na kushuka pale inashuka nafanya sell baada ya kuconfirm bullsh na bearsh resistance,alafu nafanya fasta analysis within my phone analaf namatch all time frame ikimatch 100% to all nafanya sell or buy nkijiamini, na pia MACD setting zangu no one of success wining ambayo bigg trader hawatoi kwani utacopy trade zao Ila sio setting,
0652176066 naomba uniadd broKaka hiii namba ipo sawa kweli ??????
Yangu hii 0620555204Kaka hiii namba ipo sawa kweli ??????