So shauri watu wa trade real financial products, yaani mtu aweze kununua kabisa hisa za Tesla kwa mfano ,Kama ambavyo anaweza akanunua hisa za benki like crdb kabisa na anapata gawio Kama ambalo mwaka huu crdb wametengaza kuwa watapata la sh 60-75 kwa Kila hisa.
Ama na hii pia utapeli , ishu Iko inayotangazwa ni gambling ya ku predict price Mana hata USA hawataki Ila uk and other Europeans countries and asia is acceptable.
Yaani USA wameikataa spread betting Ila wameruhusu kasino , gambling etc.
Ielewekwe kuwa tuna gamble Kama kwenye kampuni za kikamari mtandaoni, Mana saivi unaweza ukacheza casino za Las Vegas USA Ila uko huko Kijijini kwetu huko keisangora maruru ama matongo ,Sasa Kama kamari ukila wanakulipa na Kuna mamlaka za nchi husika zimewapa lesseni na zinawasimamia kuangalia gambling activities practices why na watu wasi gamble kwenye spread betting ama iyo inayoitwa just real price of underlying financial assets, Ila nachoshukuru kuwa Ile price quote nayoina kuwa pound moja ni sawa na Japanese yen 189.886 , Kama hii nayoiona ni sawa na iliyoko kwenye inter bank Network communication kwani wewe unachotaka ni nini zaidi ya icho mkuu, Kama unaweza tukanunua Dola ukakaa nazo zikipanda vs tzs unauza unapata shillingi back nyingi kuliko ulizotoa ,wewe unataka nini zaidi ya hapo, yaani Mungu akupe nini.
Unataka mie ninunue pound za uk laki tano ama milioni against Canadian dollar iki gain strength niende bank niwambie nipeni pound zangu back , mie ninayo hiyo hela achana manenki wao wenyewe wafanye, acha mie nidili na huyu broker anayeniwezesha kununua hizo pound kwa gharama ya Dola alfu moja tu mkuu, yaani tunaelewa sio kuwa huwa tumenunua pesa halisi Bali unakuta tumebeti price fluctuations.
Hata nikinunua Australia government bonds halisi kabisa naweza nikaziuza na nikazinunua back,
Zamani hata shares or stocks walikuwa wananunua tu hakuna kuuza Ila broker akaona fursa kuwa mie nakukopesha hisa hata Kama huna uza Mana Kuna contract mnaingia