Forex vs Betting.

Forex vs Betting.

Je forex ni sawa na betting?

  • Total voters
    26
  • Poll closed .
forex haina uuzaji wala ununuaji wa asset yoyote, forex market haipo! unachokiona kwa broka ni real time price ya currency kwenye central banks mbalmbal and when you press buy hio ela inaisha kwa broka haiendi kokote, broka anakaa na hio hela anasubiri mtu apatie then achukue za kwenu mnaoloose ampe alioshinda, simple as that, wala usihangike kusoma sjui forex market, hilo soko halipo
Uko sahihi mkuu, Forex ni Betting kazi ya trader ni kutafuta odds inayo favor upande wake.
 
forex haina uuzaji wala ununuaji wa asset yoyote, forex market haipo! unachokiona kwa broka ni real time price ya currency kwenye central banks mbalmbal and when you press buy hio ela inaisha kwa broka haiendi kokote, broka anakaa na hio hela anasubiri mtu apatie then achukue za kwenu mnaoloose ampe alioshinda, simple as that, wala usihangike kusoma sjui forex market, hilo soko halipo
Si ni betting ya price fluctuations mbona inaeleweka , na wale wanao trade futures market na wao hela ziko kwa broker pia. So zile exchanges like comez, amex, nasdaq and nye

Mbona hii inaeleweka kabisa Sasa kumbe kwani wewe unajuaje kuwa watu wanaielewaje, it's sum zero game inajulikana na Hawa brokers wanajulikana B book ama before during 19th century walijulikana Kama bucket shop
 
Sio kuwa Iko Kama ambavyo hao brokers wanaitangaza Kama ilivyo ama inavyotangazwa , wanadai Iko zaidi ya hapo,
Ila unachoongea ni sahihi ,pamoja kuwa unabeti kwenye hiyo real live price asset price Ila si ukiipatia si unapewa hela. Na wameshauri watu wacheki wale brokers ambao wako highly regulated na nchi zao like Australia,uk etc na hili namie nalitambua
 
amna mtu kasema msitumie sisi tunachoweka sawa apa ni taarifa sahihi, ili mtu ambae hana uelewa asiweke ela kwa kutmia propaganda, mfano wapo online mentors wanaoshawishi watu wawafundishe forex kwa kuiita TRADING wakati sio trading
 
Si ni betting ya price fluctuations mbona inaeleweka , na wale wanao trade futures market na wao hela ziko kwa broker pia. So zile exchanges like comez, amex, nasdaq and nye

Mbona hii inaeleweka kabisa Sasa kumbe kwani wewe unajuaje kuwa watu wanaielewaje, it's sum zero game inajulikana na Hawa brokers wanajulikana B book ama before during 19th century walijulikana Kama bucket shop
maabroka wote ni sawa hakuna Atype wala Ztype, issue ni forex market haipo ni utapeli tu
 
So shauri watu wa trade real financial products, yaani mtu aweze kununua kabisa hisa za Tesla kwa mfano ,Kama ambavyo anaweza akanunua hisa za benki like crdb kabisa na anapata gawio Kama ambalo mwaka huu crdb wametengaza kuwa watapata la sh 60-75 kwa Kila hisa.
Ama na hii pia utapeli , ishu Iko inayotangazwa ni gambling ya ku predict price Mana hata USA hawataki Ila uk and other Europeans countries and asia is acceptable.
Yaani USA wameikataa spread betting Ila wameruhusu kasino , gambling etc.
Ielewekwe kuwa tuna gamble Kama kwenye kampuni za kikamari mtandaoni, Mana saivi unaweza ukacheza casino za Las Vegas USA Ila uko huko Kijijini kwetu huko keisangora maruru ama matongo ,Sasa Kama kamari ukila wanakulipa na Kuna mamlaka za nchi husika zimewapa lesseni na zinawasimamia kuangalia gambling activities practices why na watu wasi gamble kwenye spread betting ama iyo inayoitwa just real price of underlying financial assets, Ila nachoshukuru kuwa Ile price quote nayoina kuwa pound moja ni sawa na Japanese yen 189.886 , Kama hii nayoiona ni sawa na iliyoko kwenye inter bank Network communication kwani wewe unachotaka ni nini zaidi ya icho mkuu, Kama unaweza tukanunua Dola ukakaa nazo zikipanda vs tzs unauza unapata shillingi back nyingi kuliko ulizotoa ,wewe unataka nini zaidi ya hapo, yaani Mungu akupe nini.
Unataka mie ninunue pound za uk laki tano ama milioni against Canadian dollar iki gain strength niende bank niwambie nipeni pound zangu back , mie ninayo hiyo hela achana manenki wao wenyewe wafanye, acha mie nidili na huyu broker anayeniwezesha kununua hizo pound kwa gharama ya Dola alfu moja tu mkuu, yaani tunaelewa sio kuwa huwa tumenunua pesa halisi Bali unakuta tumebeti price fluctuations.
Hata nikinunua Australia government bonds halisi kabisa naweza nikaziuza na nikazinunua back,

Zamani hata shares or stocks walikuwa wananunua tu hakuna kuuza Ila broker akaona fursa kuwa mie nakukopesha hisa hata Kama huna uza Mana Kuna contract mnaingia
 
nakuelezea kitu ambacho nafanya huyo amejitahidi kuelezea ila kuna sehem anakosea kwenye maelezo ndo tunarekebisha taarifa iwe sahihi
Rekebisha Sasa kwa kizazi cha kitanzania, na je betting nayo hii betpawa ama gal spot unawasaidiaje, yaani hizi Mambo zipo group Moja na ulevi ama umalaya sidhani Kama unaweza saidia kikubwa weka anayeweza kujifunza atajifunza
 
kitu kimoja unapaswa kuelewa:
- financial markets hazipo pale kwa ajili ya wewe kupata faida kwenye price changes, mfano 1KSH is 18TZS lengo sio uje kukaa katikati uvizie bali lengo ni kutoa ukubwa wa uchumi wa nchi nadhaa katika biashara, mabroka wakaja wakawajaza kwamba unajua izi price znabadilika unaweza kupiga ela apo ndo mkajaa na mpaka leo fundamental ya financial market haieleweki kwa sababu broka scammed you:

- nkupe mfano ukiona rate kama hii: 1KSH = 18TZS ujue kwamba fedha ya kenya na tanzania imedailishwa na wananchi ndan ya hio sku kwa price hio, lakini hao hao wananchi wanaweza kubadilika mda wowote mfano mtu anaweza kubadilisha 100B tsh kwenda ksh akiwa na lengo tafauti mfano kufanya investment ila wewe hizi zote u ignored ukaona kusoma kuchora mistari kwenye chart ndo una akili zaidi, YOU CANT TIME THE MARKET, its impossible so acha kupoteza mda
 
Rekebisha Sasa kwa kizazi cha kitanzania, na je betting nayo hii betpawa ama gal spot unawasaidiaje, yaani hizi Mambo zipo group Moja na ulevi ama umalaya sidhani Kama unaweza saidia kikubwa weka anayeweza kujifunza atajifunza
ukiwa na mil 1 ukaanzisha biashara na mwingine akaenda forex, alieanzisha biashara ataishia kupata faida kubwa zaidi ya mtu wa forex mwisho wa mwaka, nchi wanaojielewa hawahangaiki nayo wengine they ban it
 
Beleive whatever you want to beleive
itsnot about believing its about facts:
1739524213989.png
 
forex market doesnt exist: soma ata the citizen kijana tukufundishe mara ngap: The Truths about Forex Trading.

View attachment 3233795
Wewe unakataa kwamba forex haipo.
. Ila hilo gazeti linaongelea vitu tofauti kabisa na unavyoviongea wewe!

Kimsingi gazeti linakubali kwamba forex ipo na unaweza kupata kipato kupitia forex lakini siyo suala la one night. Ni suala la kuwa na elimu nalo, muda na commitment.

Kiufupi hilo gazeti liko against you.
 
forex haina uuzaji wala ununuaji wa asset yoyote, forex market haipo! unachokiona kwa broka ni real time price ya currency kwenye central banks mbalmbal and when you press buy hio ela inaisha kwa broka haiendi kokote, broka anakaa na hio hela anasubiri mtu apatie then achukue za kwenu mnaoloose ampe alioshinda, simple as that, wala usihangike kusoma sjui forex market, hilo soko halipo
Ampe alie shinda nini?. Alikuwa anafanya nini huyo mtu mpaka anashinda?

Na huyo alie lose anakuwa maelose kitu gani? Alikuwa anafanya nini mpaka ana lose?
 
Wewe unakataa kwamba forex haipo.
. Ila hilo gazeti linaongelea vitu tofauti kabisa na unavyoviongea wewe!

Kimsingi gazeti linakubali kwamba forex ipo na unaweza kupata kipato kupitia forex lakini siyo suala la one night. Ni suala la kuwa na elimu nalo, muda na commitment.

Kiufupi hilo gazeti liko against you.
hakuna kitu kinaitwa forex market na hilo gazeti limeeleza kabsa forex sio kama mabroka wanavowaambia ipo, forex sio soko bali ni kitendo, FOREX(FOREIGN EXCHANGE) kitendo cha kubadilisha ndo inaitwa FOREX hakuna soko la forex bali kuna kitu cha forex, hio moja

2) forex ata ukipewa miaka 100 u can never understand it because rates za pairs ni total transactions zilizofanika nchi nzima, which is imossible kujua leo mtu anatransact kwa sababu flan, flan mtu anaweza kutuma brungutu la hela kenya and hio transaction 1 ikasababisha ksh ikapanda against Tsh, its impossible to know these transactions, even if you were an insder trader u cant get all the info za kukufanya uwin

3) central banks dont trade to make a profit na ndo 98% wenye volume ya pesa nchi husika so kusoma charts na kupredict kuna mgonjwa atatumiwa ela leo ni uendawazimu
 
Ampe alie shinda nini?. Alikuwa anafanya nini huyo mtu mpaka anashinda?

Na huyo alie lose anakuwa maelose kitu gani? Alikuwa anafanya nini mpaka ana lose?
si ampe ela kwan kuna kingine kinazunguka kwa broka zaidi ya hela zenu? kiufupi broka ni mzee wa casino
 
hakuna kitu kinaitwa forex market na hilo gazeti limeeleza kabsa forex sio kama mabroka wanavowaambia ipo, forex sio soko bali ni kitendo, FOREX(FOREIGN EXCHANGE) kitendo cha kubadilisha ndo inaitwa FOREX hakuna soko la forex bali kuna kitu cha forex, hio moja

2) forex ata ukipewa miaka 100 u can never understand it because rates za pairs ni total transactions zilizofanika nchi nzima, which is imossible kujua leo mtu anatransact kwa sababu flan, flan mtu anaweza kutuma brungutu la hela kenya and hio transaction 1 ikasababisha ksh ikapanda against Tsh, its impossible to know these transactions, even if you were an insder trader u cant get all the info za kukufanya uwin

3) central banks dont trade to make a profit na ndo 98% wenye volume ya pesa nchi husika so kusoma charts na kupredict kuna mgonjwa atatumiwa ela leo ni uendawazimu
Upo sawa boss sikupingi
 
Basi Acha sisi tuendelee kumake profit kwa kitu ambacho hakipo mkuu
 
hakuna mtu anaemake profit trading kwa kusoma charts, kumake profits kwenye financial markets you dont need those charts! and at most times your considered stupid na watu wanaojua financial markets
 
Back
Top Bottom