Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Andamaneni, sasa ndio unaleta hoja, hivyo I was very right kuwa lengo la kutumia sheria ni kumpiga jungu ili afukuzwe nchini, sio kwa issues za kazi bali kutokana na personal issues za uonevu, ubaguzi, dharau, mbaguzi na lugha chafu, hayo makosa uliyoyairodhesha ni makubwa zaidi kuliko lile takwa la kisheria.Hujui unachokiongea nyamaza tuu, kwanza hii barua imeandika upande wa kisheria tuu ila huyu jamaa hataki kuachia watanzania cheo, kuna watanzania wengi sana wanakiweza cheo hicho zaidi yake ila anafanya tricks za kuhamisha watu na wengine kuwatengenezea jungu waondoke ili wasichukue huyo nafasi, LUIS hapendi watu weusi ni mbaguzi, anadharau weusi, muonevu, kwenye vikao anatukana watu kama wattoto wadogo,
hujui unachoongea, mpaka hii barua imeandikwa manake tumechoka na uonevu wake, umejiuliza kwann yeye tuu, vodacom kuna wageni kibao mbona hawajaandikiwa barua??
Tangu mwanzo mleta mada angekuja na haya, tunge support.
Kwenye utendaji baadhi ya kazi, Watanzania ni changamoto, nakupa mfano mdogo kwenye vyombo vya habari vya utangazaji, kwenye idara za accounting, na cash office, ITV, Star TV na Channel Ten na Azam TV, zinaongozwa na Wahindi, ni waaminifu sana. Wahindi pia ni makini sana hivyo hadi US na UK, Wahindi wanaajiriwa kwenye IT kuliko wenyeji.
If the guy is good, na mwenye mali anamkubali, atamretain hata kama wapo wabongo wenye uwezo huo, lakini hizo tuhuma dhidi yake mfano hiyo ya ubaguzi na bullying ni very serious offenses na ni criminal!.
P