Forgotten sources of Income Tax

Forgotten sources of Income Tax

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
6,361
Reaction score
2,378
Naona kuna wigo mpana umesahaulika...hebu tujikumbushe

  1. Kodi kwa minara ya simu na yamatangazo ya redio na Televisheni,hakika hili ni eneo jingine ambalo mapato yake yanapotea na ukizingatia ni nyezo zinazoyaingizia makampuni mengi kipato kikubwa na pia wamiliki wa maeneo ya ilipojengwa wanapata mapato mazuri tu tax free.mfano mnara wa simu unaweza kuwa na mita ya kusoma talktime na message zilzotiririka na kutoa wastani wa matumizi iwapo wazo la flat rate lisipokubaliwa

  2. Kodi kwa nyumba za kupanga.Hili ni eneo ambalo limebaki likinufaisha wamiliki wa nyumba bila serikali kupata mapato.naona TRA inatilia mkazo pango la kibiashara lakini haya mapango ya nyumba za kuishi kunapotea mabillion mengi hebu pafanyiwe kazi fasta.majuzi tumesikia TRA wakanzisha mfumo kwa wafanyabiashara wa kipato cha 40,000 kwa mwezi sasa hapo wenye nyumba za kupanga wanawaweka wapi? Maana maapartment yanapangishwa kwa bei za ajabu tena dola mbona wapangaji hawapewi risiti na hao wapangishaji hawana leseni za biashara??

  3. Guest house zilizotapakaa kila kona za miji yetu hazitowi EFD receipt--kuna mapungufu hapo

  4. Bar na groceries everywhere mbona tukiagiza hizo redbull hatupewi EFD?

  5. Daladala tiketi zao pia zingekuwa katika mfumo wa EFD

  6. vilabu vya mpira makato ya viingilio na tiketi ziwe kwa mfumo wa kodi papo hapo

  7. Kumbi za STAREHE NA HARUSI hizi ziwe na kodi per function​

na nyinginezo wadau tukumbushane.....

NB; Nimetaja EFD sehemu nyingi lakini ningeshauri mfumo wa EFD uzingatie CREdit SALES kwani ni moja ya huduma inayofanyika na pia pamoja na kuongeza mapato mianya ya matumizi mabaya izibwe kwa kuanzia na wafanyakazi wenyewe wa idara ya Kodi

Nawakilisha mjadala​
 
  • Saloon za kike na kiume
  • vibanda chips
 
Source nyingine ni kwa wale wafanya biashara ndogo ndogo ambao wanapanga vitu kwenye bara bara,hao watu na wenyewe ni muhimu kulipa kodi.
zile sehemu wanazozipenda kufanyia biashara manispaa wangeziboresha na kuwapa namba za kufanyia biashara na zinalipiwa kwa siku au wiki au mwezi
 
Waanze wanasiasa na viongozi wa ngazi za juu serikalini kukatwa kodi kwenye mishahara yao minono.

mishahara nadhani inakatwa PAYE na vinginevyo but POSHO POSHO hapo ndio penye tatizo
 
Naona kuna wigo mpana umesahaulika...hebu tujikumbushe

  1. Kodi kwa minara ya simu na yamatangazo ya redio na Televisheni,hakika hili ni eneo jingine ambalo mapato yake yanapotea na ukizingatia ni nyezo zinazoyaingizia makampuni mengi kipato kikubwa na pia wamiliki wa maeneo ya ilipojengwa wanapata mapato mazuri tu tax free.mfano mnara wa simu unaweza kuwa na mita ya kusoma talktime na message zilzotiririka na kutoa wastani wa matumizi iwapo wazo la flat rate lisipokubaliwa

  2. Kodi kwa nyumba za kupanga.Hili ni eneo ambalo limebaki likinufaisha wamiliki wa nyumba bila serikali kupata mapato.naona TRA inatilia mkazo pango la kibiashara lakini haya mapango ya nyumba za kuishi kunapotea mabillion mengi hebu pafanyiwe kazi fasta.majuzi tumesikia TRA wakanzisha mfumo kwa wafanyabiashara wa kipato cha 40,000 kwa mwezi sasa hapo wenye nyumba za kupanga wanawaweka wapi? Maana maapartment yanapangishwa kwa bei za ajabu tena dola mbona wapangaji hawapewi risiti na hao wapangishaji hawana leseni za biashara??

  3. Guest house zilizotapakaa kila kona za miji yetu hazitowi EFD receipt--kuna mapungufu hapo

  4. Bar na groceries everywhere mbona tukiagiza hizo redbull hatupewi EFD?

  5. Daladala tiketi zao pia zingekuwa katika mfumo wa EFD

  6. vilabu vya mpira makato ya viingilio na tiketi ziwe kwa mfumo wa kodi papo hapo

  7. Kumbi za STAREHE NA HARUSI hizi ziwe na kodi per function​

na nyinginezo wadau tukumbushane.....

NB; Nimetaja EFD sehemu nyingi lakini ningeshauri mfumo wa EFD uzingatie CREdit SALES kwani ni moja ya huduma inayofanyika na pia pamoja na kuongeza mapato mianya ya matumizi mabaya izibwe kwa kuanzia na wafanyakazi wenyewe wa idara ya Kodi

Nawakilisha mjadala​
hivi wewe ni mwana siasa vile?huna hoja
 
Waanze wanasiasa na viongozi wa ngazi za juu serikalini kukatwa kodi kwenye mishahara yao minono.

Rais na wabubunge waanze ili wawe mfano kwa raia wengine.

Income tax act ibadilishwe, zile exemptions zilizoko second schedule ikianzia na mishahara ya marais na kiiinua mgongo cha wabunge!
 
Misterdennis umenena yaani kwenye exemptions kunatumiaka vibaya watu wanaenjoy tax holiday muda ukiisha wanabadili jina wanaanza upya....!!
 
Last edited by a moderator:
Kwenye mabaa baadhi efd zipo ila hawatoi receipt yaani kama watu wangetoa efd receipt nadhani TRA wangekusanya kodi nyingi sana na wala tusingetegemea wahisani
 
... Income Tax kwenye magari ya Serikali yanayotumika kwa shughuli binafsi za nyumba, hasa baada ya saa za kazi.
: kwa mfano usiku unakuta STK limepaki kwenye Bar na kumbi za Starehe, watumiaji wanatakiwa kulipa Income Tax.
 
Source nyingine ni kwa wale wafanya biashara ndogo ndogo ambao wanapanga vitu kwenye bara bara,hao watu na wenyewe ni muhimu kulipa kodi.

... Kuna wafanyakazi Serikali wengi hawali income Tax: wanapofanya manunuzi ya nje Imports...
 
Kwenye mabaa baadhi efd zipo ila hawatoi receipt yaani kama watu wangetoa efd receipt nadhani TRA wangekusanya kodi nyingi sana na wala tusingetegemea wahisani
Yaani mabaa na hotel nyingi kuna ukwepaji sana na ukidai risiti unaonekana wewe ndo tatizo
 
... Income Tax kwenye magari ya Serikali yanayotumika kwa shughuli binafsi za nyumba, hasa baada ya saa za kazi.
: kwa mfano usiku unakuta STK limepaki kwenye Bar na kumbi za Starehe, watumiaji wanatakiwa kulipa Income Tax.

hizo tena mbona kisu kimeingia kwenye mfupa umewagusa wengi kbm
 
Last edited by a moderator:
... Kuna wafanyakazi Serikali wengi hawali income Tax: wanapofanya manunuzi ya nje Imports...
unawabana maachinga unawaachia hawa wanaopita VIP na bidhaa tele bila kulipa hata mia
 
unataka life lizidi kuwa tight nn? hicho kidogo wanachokusanya TRA wakikikusanya vizuri na serikali ikizuia matumizi mabaya ya fedha na ufisadi inatosha.
 
hawakusanyi vizuri na hawatumii vizuri sasa bora wakusanye zaidi kwa wigo mpana na sio zaidi kwa wigo finyu
 
Back
Top Bottom