Form 3

Form 3

dah mentor hapo umechemka, mpaka amalize form 6 wamaume wengine watakuwa wanasubiri nini? Au utamfunga mgomba?usisahau ukimwambia sa hivi umechemka koz utamfanya mtoto wa wa2 adate mwisho wa siku afeli, pia itakuwa hatari kwako.

kwaiyo nimwambie akishamaliza form four??
 
Kupenda bwana ni ki2 kingine kabisa.sikushangai kwa kudata na huyo binti.Ila sikupi ushauri wa kumwambia sasa kwani atachanganyikiwa kiskul kwani wachache wanaoweza kubalance 2 thngs at ze sem time,pia kwa umri wako hamna ubaya kuja kuwa nae,lakini co kwa sasa. Pia kusubiri nako akampata mtu hasa akifika ktk level ya advance hapa wengi wanadatishwa,kwahiyo vuta subra kama kweli unampenda na endelea kuwa karibu nae kikawaida ujue anavyoendelea kitabia,hapo baadae hata akifika chuo unamtel,kwani muda uliobaki mwingi kimtazamo lkm pia co mwingi kimalengo!I THINK U GAT ME'

duh, ushauri murua kabisa huu..
i think mi ntaendelea kusubiri mpaka nione mwisho wake...
walisema,
"Mambo mazuri hayahitaji haraka." - Wahenga
 
muache mtoto asome na tamaa zko umekosa wa size yako acha ujinga ww
 
Kakaaa...........tumekusikia.
Sikukatishi tamaa ila huyo binti bado hajapevuka kiasi hicho.....umwambie/usimwambie.........mara nyingi lazima atakuja kufanya choice nyingine akipevuka.

Kwahiyo kwa kuwa huna intention mbaya..........endeleza udada/urafiki......ila usiweke roho/akili/hisia/kichwa/miguu/mikono.....vyoote kwake,though simaanishi upange foleni ya watarajiwa!

Mara nyingine huwa mahusiano ya hivi yanabreak for some years...................alafu baadae akiwa matured enough,wakati anafanya mchanganuo wa kutafuta mume......................kama ulimtreat vizuri na una sifa...............obviousy utakuwa chaguo lake no.1

ILA tegemea lolote!
 
hawa watoto wa shule hawana msimamo kabisa watakuja kukuumiza tu mpotezeee tafuta anayeendana na wewe
 
Hao watoto hawafai, kuna kipindi nilijifanya kuwekeza kwa katoto ka form 4, lol yaliyonikuta, najutaaaaaaa.,kwa ufupi bado wana akil ya kurukaruka
 
Kusubiri ni probability kama unatupa jiwe gizani unaweza ipata target au ukose kwa hiyo wewe uamue kumove on au kusubiri bila guarantee ya kula mbivu maana unaweza ukamwambia sasa hivi akakuelewa kwa influence ya ujomba ila baadae akakumwaga au usimwambie baadae ikawa 2 late. Uko tayari ku take risk?
 
Back
Top Bottom