Form 5 hatusomi walimu hawafundishi

Form 5 hatusomi walimu hawafundishi

Eyoma

Senior Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
166
Reaction score
40
Jamani kweli elimu ya Tanzania inazidi kushuka,wale tuliofaulu kuingia kidato cha tano tangu tujiunge mashuleni walimu hawaingii darasani hat kidogo na zaidi hizi shule kongwe hasa za sayansi ikiwemo tosamaganga,nyakato bukoba hapa singida ipo shule moja pia ,sijui wenzetu mlioko shule nyingine huko mtujuze.nauliza je waziri wa elimu ana habari na hili.na je mnatuandaa kuwa wataalam kweli?waziri fuatilia haraka.
 
dogo acha ujinga,nimesoma form five yote bila mwalimu wa biology,wa physics alikuja tukiwa form six. Sasa hivi ni daktari nikipambana kwa migomo kutetea maslahi yangu na ya watz. We hujamaliza hata miezi miwili! O level ndo walimu wa physics,chemistry,bios na geography walihama tukiwa form two.
 
kwa hiyo nani mjinga kati ya mie na wewe,yaani unasifia ujinga!nataka kuamini kuwa ulikuwa half cooked na sasa ni daktari unaeongoza migomo,acha hizo.yaani unatumia elimu ya olevel duh.ungenipa wazo la kugoma kama mlivyogoma wewe doctor aambae hukusoma biology Alevel.
 
majibizano: doctor Vs F5 student.
 
We dogo ukiendelea kutegemea walimu, form 6 utataga. Jamaa hapo juu kakupa fact.
 
dogo acha ujinga,nimesoma form five yote bila mwalimu wa biology,wa physics alikuja tukiwa form six. Sasa hivi ni daktari nikipambana kwa migomo kutetea maslahi yangu na ya watz. We hujamaliza hata miezi miwili! O level ndo walimu wa physics,chemistry,bios na geography walihama tukiwa form two.
ficha upumbavu wako onyesha hekima zako
 
Jamani kweli elimu ya Tanzania inazidi kushuka,wale tuliofaulu kuingia kidato cha tano tangu tujiunge mashuleni walimu hawaingii darasani hat kidogo na zaidi hizi shule kongwe hasa za sayansi ikiwemo tosamaganga,nyakato bukoba hapa singida ipo shule moja pia ,sijui wenzetu mlioko shule nyingine huko mtujuze.nauliza je waziri wa elimu ana habari na hili.na je mnatuandaa kuwa wataalam kweli?waziri fuatilia haraka.

muda huu unaoupoteza kubishana na wakubwa kwenye forum utaujutia, ss hiv unatakiw utafute vitabu usome mwenyewe, fanya discusion na wenzako, usisubiri mwalimu, ww endelea kulalamika kijingajinga hivo mwisho wa siku utataga
 
Poteza muda wako jf utakiona cha moto miaka 2014. miaka yote wezio wamesoma hivyo ni msuli kwa kwenda mbele. kuna shule zingine wanafunzi wanapiga msuli hadi walimu wanaogopa, walimu wanafundisha vijana walishamaliza silabasi kitambo.............shauri yako!
 
mwanafunzi wangu kwanza pole na hngera kwa kulileta hili hapa. mimi ninachokushauri ni uwe serious kwenye masomo achana na hili jukwaa kwa sasa. mambo ya waalim hayo yanajulikana tatizo liko wapi manake kama ni sayansi hakuna waalim kabisa. pia shule ya A-level inasomwa kwa msuli binafsi kuliko mwalim orientation so uwe focused na kusoma peke yako zaid. kama unasoma sayans muda huu ungeutumia kusoma topic yote ya general chem yaani stucture af the atom uwe umemaliza na unaijua. googl search hayo mambo. unless kama utataka nikupe desa ninalowafundishia wanafunz wangu wa pcm na pcb za chemistry na bios.
 
Msuli-yatima unahusika sana A level studies esp govt schools.Kaza buti sio lazima ticha awepo
 
WENZAKO WAKAT BABA ZAO WANASAKA HELA ZA KUWAPELEKA SHULE NZURI YE [BABAKO]ALIKUW KILABUN MIGUU JUU KWENYE VIGODA!XAXA MTOT WAKE UNAKUL JOTO YA JIWE,CHEZEYA UMASKINI WEYE
:juggle:!!!EMBU MIE NILE NA 😛hoto:
 
inasikitisha sana ndio maana Tanzania hatuna wavumbuzi tuna wakaririshaji kibao ...Tungepata waalimu wakuinspire wanafunzi tungekua mbali ...na wengi wenu nyie wakucrame, kufaulu necta, kwenda chuo na kuajiriwa mnafurahia huu upuuzi.huu upumbavu ..eti "zoea kitu cha kawaida nimepita uko "
 
Kaza buti dogo acha kulalamika hiyo ndiyo hali halisi ya shule za kata au wewe umesoma special school nini?
 
We dogo unapoteza muda kujibizana jf badala ya ku gogle materials, km hujui walimu wako kwenye mgomo baridi siku nyingi, fuatilia matokeo ya hapo skuli ulipo uone wangapi wametaga mayai, tena hapo nyakato balaa.
 
Jamani kweli elimu ya Tanzania inazidi kushuka,wale tuliofaulu kuingia kidato cha tano tangu tujiunge mashuleni walimu hawaingii darasani hat kidogo na zaidi hizi shule kongwe hasa za sayansi ikiwemo tosamaganga,nyakato bukoba hapa singida ipo shule moja pia ,sijui wenzetu mlioko shule nyingine huko mtujuze.nauliza je waziri wa elimu ana habari na hili.na je mnatuandaa kuwa wataalam kweli?waziri fuatilia haraka.

ulikua hujui????pole sana
 
Hapo babu kaza but 2 ili uipite hyo ha2a mambo mengine mbele kwa mbele cz elimu ya bongo ndo ilivyo! na mi najua walio tokea shule za gvnt espclly kata lazima watachana 2 cz hzo tabu washazizoea ila kama ulikua wa spcl xkul ucpo soma alama za nyakat ndo utasanda,kaza buti mkubwa achana na sihasa!!
 
Young man get serious with your studies although it is also right to make noise when things are not right. Sikupenda ulivyosema katika title yako'HATUSOMI'?? nilifikiri waalimu wasipofundisha haiwafanyi 'msisome' mnakuwa hamfundishwi lakini kusoma ni juu yenu tena kama hawapo wa kuwafundisha inabidi msome zaidi ya kawaida au mmesusa?
 
kwa hiyo nani mjinga kati ya mie na wewe,yaani unasifia ujinga!nataka kuamini kuwa ulikuwa half cooked na sasa ni daktari unaeongoza migomo,acha hizo.yaani unatumia elimu ya olevel duh.ungenipa wazo la kugoma kama mlivyogoma wewe doctor aambae hukusoma biology Alevel.

sijakwambia sikusoma,hatukufundishwa darasani ila tulisoma kwa juhudi zetu. Siyo ujinga ila ndo serikali yenu ilivyodhamiria kuwafanya wajinga. Tafuta twisheni ukasome,kama vipi rudi seminary.
 
Back
Top Bottom