Jamani kweli elimu ya Tanzania inazidi kushuka,wale tuliofaulu kuingia kidato cha tano tangu tujiunge mashuleni walimu hawaingii darasani hat kidogo na zaidi hizi shule kongwe hasa za sayansi ikiwemo tosamaganga,nyakato bukoba hapa singida ipo shule moja pia ,sijui wenzetu mlioko shule nyingine huko mtujuze.nauliza je waziri wa elimu ana habari na hili.na je mnatuandaa kuwa wataalam kweli?waziri fuatilia haraka.