dogo acha ujinga,nimesoma form five yote bila mwalimu wa biology,wa physics alikuja tukiwa form six. Sasa hivi ni daktari nikipambana kwa migomo kutetea maslahi yangu na ya watz. We hujamaliza hata miezi miwili! O level ndo walimu wa physics,chemistry,bios na geography walihama tukiwa form two.
kwa hiyo nani mjinga kati ya mie na wewe,yaani unasifia ujinga!nataka kuamini kuwa ulikuwa half cooked na sasa ni daktari unaeongoza migomo,acha hizo.yaani unatumia elimu ya olevel duh.ungenipa wazo la kugoma kama mlivyogoma wewe doctor aambae hukusoma biology Alevel.
ficha upumbavu wako onyesha hekima zakodogo acha ujinga,nimesoma form five yote bila mwalimu wa biology,wa physics alikuja tukiwa form six. Sasa hivi ni daktari nikipambana kwa migomo kutetea maslahi yangu na ya watz. We hujamaliza hata miezi miwili! O level ndo walimu wa physics,chemistry,bios na geography walihama tukiwa form two.
Jamani kweli elimu ya Tanzania inazidi kushuka,wale tuliofaulu kuingia kidato cha tano tangu tujiunge mashuleni walimu hawaingii darasani hat kidogo na zaidi hizi shule kongwe hasa za sayansi ikiwemo tosamaganga,nyakato bukoba hapa singida ipo shule moja pia ,sijui wenzetu mlioko shule nyingine huko mtujuze.nauliza je waziri wa elimu ana habari na hili.na je mnatuandaa kuwa wataalam kweli?waziri fuatilia haraka.