Form Six kwenda kwenye Mafunzo ya Jeshi

Form Six kwenda kwenye Mafunzo ya Jeshi

Mmh! Inawezekana kweli?
Wa kwangu pia amechaguliwa bado najiuliza aende au asiende coz nasikia wanasema cheti cha JKT kitakuja kumsaidia huko mbeleni kwenye masuala ya ajira, bado niko njia panda, japokua amepangiwa hapo ruvu tu
Inawezekana vizuri mno...kwanza watamkamataje??
Siku ya kumaliza mafunzo huwa raia wengi wanaenda kushuhudia vijana wakipiga gwaride,
kwahyo siku hiyo anaenda kama raia lakini anakuwa ameshawasiliana na marafiki zake, akifika wanampa cheti
 
Ngojanikupe ujanja utanishukuru baadae..
Mwambie aende kujisajili tu kuwa alifika kambini....Akifika atafute marafiki huko halafu kozi ikianza anatoroka.
Halafu wale marafiki zake anakuwa anawasiliana nao kuwa vyeti vikitoka wamhakikishie cheti chake.
Siku ya kuhitimu arudi tena kuchukua cheti chake
Sio rahisi kihivyo. Kwa siku mnaweza kuitwa majina mpaka mara 4 na mmoja akikosekana wengine siku hiyo mnaweza msilale. Na ikijulikana haupo unafutwa na taarifa inafika kwa OC, CO na RSM
 
Sio rahisi kihivyo. Kwa siku mnaweza kuitwa majina mpaka mara 4 na mmoja akikosekana wengine siku hiyo mnaweza msilale. Na ikijulikana haupo unafutwa na taarifa inafika kwa OC, CO na RSM
Hii kitu Kuna watu nawajua walifanya...halafu Nakumbuka Kuna watu walitoroka vyeti vyao vilikuja
 
Asiende huu ndio ushauri wangu kwa case yake tumbo asiende kabisa

Niliwahi kupita huko zamani
 
Ngojanikupe ujanja utanishukuru baadae..
Mwambie aende kujisajili tu kuwa alifika kambini....Akifika atafute marafiki huko halafu kozi ikianza anatoroka.
Halafu wale marafiki zake anakuwa anawasiliana nao kuwa vyeti vikitoka wamhakikishie cheti chake.
Siku ya kuhitimu arudi tena kuchukua cheti chake
Hakunaga kutoroka kule mzee bora asiende kabisa

Kambi nyingi ziko porini huko halafu huyo ni binti
 
Inshu ni moja sio lazima kwenda ila pia anaweza kwenda na cheti cha matatizo ya mshono hvyo akawa anapata excuse kwny baadhi ya kaz na majukumu.

Jeshini wanawaangaliaga sana watu wenye matatizo haswa ya mshono utasikia "BABA LINA MSHONO HILO LIACHE" ndo hvyo anakula utawala mpka kozi inaisha
 
Nina binti yangu kamaliza Form Six kachaguliwa kwenda jeshi.

Nilikua nauliza je asipoenda inakuaje? Kuna hatua gani wanachukuliwa?

Maana yeye alipokua Form Two alifanyiwa operation KCMC ya tumbo.

Naombeni mwenye kufaham anijushe
Kama ana shida kiafta, aende RUVU. Pale wanapokekewa wenye shida mbalimbali za kiafya
 
Kama ni wakike ataliwa kwa lazima sio ombi, mtoto wa ndugu yangu alikuwa anapiga simu akilalamika kuna afande anamtaka alivyo goma akawa anapewa kazi ngumu ila naona alikuja akali maana aliacha kupiga simu alivyo rudi kabadilika ngoja niishie hapa.
 
Hhhhh. Ngoja nikale totoz. .. Uuuuwwiiiiiiiii
 
Mmh! Inawezekana kweli?
Wa kwangu pia amechaguliwa bado najiuliza aende au asiende coz nasikia wanasema cheti cha JKT kitakuja kumsaidia huko mbeleni kwenye masuala ya ajira, bado niko njia panda, japokua amepangiwa hapo ruvu tu

Kama Hana matatizo ya kiafya, mwache aende tu. Kuna faida zaidi ya ajira. Inamjenga yeye binafsi kukabiliana na mazingira ya aina tofauti tofauti. Ni nafasi adimu na muhimu sana hasa Kwa hawa watoto wetu wa kidijitali.
 
  • Thanks
Reactions: ram
Oi kwan vyeti vinatengenezwa kikocin au makao makuu,,, npe ufaham ndugu
makao makuu...Ndomaana taarifa huwa zinaandaliwa mapema na kupelekwa makao makuu...Kwahyo in theory kama mtu akikusanya taarifa zake zikaenda makao makuu, hata akitoroka kambi cheti chake lazima kije
 
Mmh! Inawezekana kweli?
Wa kwangu pia amechaguliwa bado najiuliza aende au asiende coz nasikia wanasema cheti cha JKT kitakuja kumsaidia huko mbeleni kwenye masuala ya ajira, bado niko njia panda, japokua amepangiwa hapo ruvu tu
Kama ruvu mpeleke, hakuna purukushani pale.
 
  • Thanks
Reactions: ram
Back
Top Bottom