Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,878
- 3,263
Mkuu, mpeleke kijana akapate mafunzo. Ila aende na vithibitisho basi.Nina binti yangu kamaliza Form Six kachaguliwa kwenda jeshi.
Nilikua nauliza je asipoenda inakuaje? Kuna hatua gani wanachukuliwa?
Maana yeye alipokua Form Two alifanyiwa operation KCMC ya tumbo.
Naombeni mwenye kufaham anijushe
Wakati niko kule kuna jamaa alikuwa mgonjwa mgonjwa, alikua haguswi kwa lolote ni analala tangu tumefika mpaka tunaondoka. Ukimuona muda wote msafiii.