Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,878
- 3,263
Mkuu, mpeleke kijana akapate mafunzo. Ila aende na vithibitisho basi.Nina binti yangu kamaliza Form Six kachaguliwa kwenda jeshi.
Nilikua nauliza je asipoenda inakuaje? Kuna hatua gani wanachukuliwa?
Maana yeye alipokua Form Two alifanyiwa operation KCMC ya tumbo.
Naombeni mwenye kufaham anijushe
Ok. Umenipa idea.. Naend kikoc X maan kun bro wang ni servc.. Then jina lang likitokea kweny issue ya sensa natoroka nije kupiga ela za mama samixmakao makuu...Ndomaana taarifa huwa zinaandaliwa mapema na kupelekwa makao makuu...Kwahyo in theory kama mtu akikusanya taarifa zake zikaenda makao makuu, hata akitoroka kambi cheti chake lazima kije
Mkuu ram kama unawasiwasi jiulize asingechaguliwa kujiunga jeshi je?? Ingekuwaje?Mmh! Inawezekana kweli?
Wa kwangu pia amechaguliwa bado najiuliza aende au asiende coz nasikia wanasema cheti cha JKT kitakuja kumsaidia huko mbeleni kwenye masuala ya ajira, bado niko njia panda, japokua amepangiwa hapo ruvu tu
Naenda zam yake coz xjachahuliwa lakn j3 natimba nearby campAsingechaguliwa asingeenda
Hawatoroki bali wanatoroshwaWe ulishaenda huko?? Mbona serengeti wengi tu wanatorokaga
After six weeksKwani nyie picha za gwanda mlipiga lini?? Sisi tulipiga kabla ya kozi tukayarudisha magwanda
Aende jeshi mitaani wahuni wengi atahitaji mafunzo kusurviveNina binti yangu kamaliza Form Six kachaguliwa kwenda jeshi.
Nilikua nauliza je asipoenda inakuaje? Kuna hatua gani wanachukuliwa?
Maana yeye alipokua Form Two alifanyiwa operation KCMC ya tumbo.
Naombeni mwenye kufaham anijushe